logo

TAMISEMI

Students

UTOAJI DOZI ZA VITAMIN A KWA WATOTO

Serikali ya Canada kupitia Shirika lake la Nutrition International imetoa dozi milioni 23 za vitamini A yenye thamani ya shilingi bilioni 1.3 kwa Serikali ya Tanzania ili kuokoa maisha kwa kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya maradhi kwa watoto. Kauli hiyo imetolewa leo na Mjumbe wa Bodi wa Shirika la Nutrition International, ambaye pia ni Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe.Jakaya Kikwete kwenye Kituo Cha Afya Cha Makuburi akiwa na ujumbe wa Canada ulioongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa Mhe. Randeep Sarai. Mara baada ya kuwasili Mhe. Sarai alipata fursa ya kukagua eneo la usajiri wa watoto na lishe akiongozwa na Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia eneo la Afya, Mhe.Festo Dugange na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia eneo la Afya Prof. Tumaini Nagu.

Students

TUZO YA UTEKELEZAJI WA DIRA 2050

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akionesha Tuzo ya Utekelezaji wa Dira 2050 wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC), Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.

Students

Mafanikio katika Sekta ya Elimu nchini

Bil 28.4 zaimamrisha Sekta ya Elimu Mkoani Manyara kupitia Mradi wa SEQUIP

Students

Mafanikio ya Sekta ya Afya

Mhe. Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Tanzania na Viongozi wengine wakipatiwa maelezo kuhusu mafanikio ya Sekta ya Afya ya Msingi na Dkt. Rashid Mfaume, Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii kutoka OR-TAMISEMI

Students

TUZO KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo maalum ya kutambua mchango wake kwenye Sekta ya Afya na Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri

Viongozi wa Taasisi

Viongozi wa juu wa Taasisi, Waziri wa Nchi na Katibu Mkuu

Leadership - Mohamed Omary Mchengerwa

Mohamed Omary Mchengerwa

Waziri wa Nchi - OR TAMISEMI

leaders.Minister of State, President's Office Regional Administration and Local Government

Leadership - Ndg. Adolf H. Ndunguru

Ndg. Adolf H. Ndunguru

Katibu Mkuu - OR TAMISEMI

leaders.Permanent Secretary President's Office Regional Administration and Local Government

Habari na Matukio Muhimu

Pata habari, matangazo na matukio ya hivi punde yanayotokea ndani na karibu na jamii yetu.

Takwimu zetu

Tunapima mafanikio yetu kwa uangalifu kupitia takwimu mbalimbali ambazo zinaonyesha uhalisia wa kazi zetu nchini Tanzania. Kutoka miradi iliyokamilika kwa mafanikio hadi mipango inayoendelea, takwimu hizi zinathibitisha juhudi zetu za kuleta mabadiliko chanya. Kila hatua tunayochukua, tunazingatia matokeo yanayogusa maisha ya watu katika jamii.

Mikoa

Idadi ya Mikoa Tanzania Bara

Wilaya

Idadi ya Wilaya

Halmashauri

Idadi ya Halmashauri

Majiji

Idadi ya Majiji

Manispaa

Idadi ya Halmashauri za Manispaa

Matangazo Muhimu

Soma matangazo na taarifa rasmi ili kuendelea kufahamu shughuli zinazotekelezwa na Wizara.

Video za Matukio

Tazama picha jongefu za matukio ya kazi zetu

Vipakuliwa Muhimu

Tazama picha jongefu za matukio ya kazi zetu

Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika Mifumo yetu ya TEHAMA

Mifumo ya TEHAMA ya TAMISEMI imekuwa nguzo kuu na imara katika uafanisi wetu wa kutoa huduma kwa wanainchi, ili kuleta maendeleo ya haraka.

Cookie

We use cookies to enhance your browsing experience, provide personalized content, and analyze our traffic. By clicking "Accept All Cookies", you agree to the storing of cookies on your device to improve site navigation, analyze site usage, and assist in our marketing efforts. To learn more about how we use cookies and to manage your preferences, please visit our Cookie Policy.