
Loading ...

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akionesha Tuzo Maalum ya Heshima iliyotolewa na Bunge kwa kutambua na kuthamini kazi aliyoifanya ya kuleta maendeleo nchini tarehe 31 Mei, 2025

Wanafunzi wa shule ya sekondari Dar es Salaam wasichana wakifanya mtihani wa vitendo (mock) somo la kemia

Sehemu ya majengo ya shule ya sekondari ya wasichana Geita ambayo yameanza kutumika

Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora
Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wote wa kazi za mkataba katika programu ya Mpango wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania (Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) waliowasilisha maombi ya ajira kwa nafasi mbalimbali za kada za afya katika kipindi cha mwezi wa Desemba, 2024 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika hivyo waombaji wote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti katika Halmashauri walizopangiwa.
Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Takwimu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI - 2024/25 -2028/29
Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Miji Midogo za Mwaka 2024
Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za Mwaka 2024

Mpango wa uboreshaji wa elimu ya awali na msingi (BOOST) umeweza kutatua changamoto mbalimbali zilizokuwepo kwenye elimu msingi ikiwemo miundombinu mibovu, msongamano wa wanafunzi pamoja na ukosefu wa madarasa ya awali na matundu ya vyoo.

Mafanikio ya Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt.Samia Suluhu Hassan
Ramani ya Tanzania inayotumika kufundishia wanafunzi
Jarida la Mradi wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu
PlanRep-Policy-User-Terms
Majina ya watumishi waliopata vibali vya uhamisho Januari-Julai, 2023

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

