• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Wekezeni Fedha za Mfuko kwenye Miradi Isiyo na Athari – Nyamhanga

Imewekwa tar.: September 30th, 2020

Na. Asila Mohammed - Dodoma

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga amewaasa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mfuko wa Faraja kuwekeza fedha kwenye miradi yenye kuleta matokeo chanya na isiyo na athari kubwa ili kuleta maendeleo ya haraka ya Mfuko.

Mhandisi Nyamhanga ameyasema hayo Jijini Dodoma jana wakati akifungua mkutano wa Mfuko wa Faraja kwa mwaka 2020 ambao unahudumia watumishi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI na Taasisi zilizo chini yake kwa lengo la kuwaunganisha watumishi hao kwa kusaidiana pindi wanapopatwa na matatizo kama misiba na kuugua kwa muda mrefu.

Amesema uwekezaji mzuri unahitaji kiasi kikubwa cha fedha na ili kupata fedha hizo ni lazima kila mtumishi achangie kwa ajili ya kutunisha mfuko huo kabla ya kuangalia aina ya uwekezaji unaofaa kupitia kamati tendaji.  

‘’Kamati tendaji inajukumu la kuangalia eneo gani zuri kwa ajili ya uwekezaji’’ alisisitiza.

Mhandisi Nyamhanga ameishauri Idara ya Utawala na Rasilimali Watu kama mlezi wa mfuko wa Faraja kuhakikisha watumishi wote wanachangia katika mfuko huo kwani lengo ni kusaidina wakati wa shida.

‘’Idara ya Utawala na Rasilimali Watu lazima isimamie na kuhakikisha kila mtumishi anakatwa na kila shilingi isimamiwe kwa karibu ili fedha hizo zisitumike kwa matumizi yasiyopangwa’’ alisema Nyamhanga.

Awali Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Ofisi ya Rais TAMISEMI Victor Kategere   alisema Viongozi wa mfuko ni lazima wasimamie watumishi katika kutatua changamoto zao na kuzitolea majibu kwa kuzingatia katiba, kanuni na taratibu zilizopo za uendeshaji wa mfuko huo ili kuleta ufanisi.

Naye Mwenyekiti wa Mfuko wa Faraja Ofisi ya Rais – TAMISEMI Bw. Boniphace Luhende alisema ameridhishwa na ushiriki wa wanachama hao na kusema lengo la kuanzishwa kwa mfuko wa Faraja mwaka 2017 lilikuwa ni kusaidiana wanachama pindi wanapopatwa na matatizo na pia alimshukuru Katibu Mkuu Ofisi ya Rais -TAMISEMI ambaye ni mwajiri na mlezi wa mfuko huo kwa kuwaruhusu watumishi kushiriki katika mkutano wa mwaka kujadili agenda za zilizopangwa ili kupata mustakabali  wa mfuko.

Akisoma taarifa ya mapato na matumzi  wakati wa mkutano huo, Mtunza Hazina  wa Mfuko wa Faraja  Bi.Ummy Wayayu alisema Katika mwaka wa 2019/2020 mapato ya mfuko yaliongezeka kufikia kiasi cha shilingi 149,926,306.74na hadi mwezi Juni, 2020 salio lilikuwa ni shilingi milioni 133,571,791.20 baada ya kuwahudumia wanachama wa mfuko pamoja na gharama nyinginezo.

Wayayu amesema jumla ya watumishi wapatao 562 chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ndio wanachama na kati yao watumishi 525 ndio wanakatwa kiusahihi ambapo watumishi 14 wanakatwa makato pungufu na watumishi 23 hawakatwi kabisa.

Aidha, Amesema katika mwaka 2018/19 na 2019/20 zaidi ya wanachama 36 waliofiwa na wazazi na wanachama 3 waliokuwa wagonjwa mfuko uliweza kushughulikia matatizo yao na pia kuongeza viwango vya mafao kwa wanachama kutoka shilingi 100,000/= hapo awali na kufikia shilingi 1,000,000/=

Mkutano huo wa mwaka ulishirikisha watumishi wote wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na baadhi ya Taasisi zilizopo chini yake ambazo ni Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, DART, TARURA, Shirika la Elimu Kibaha, Shirika la Masoko Kariakoo na Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa.




Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.