• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Waziri Ummy : Ujenzi wa madarasa wakamilika kwa asiliamia 95

Imewekwa tar.: January 4th, 2022

Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu amesema ujenzi wa madarasa 15,000  umekamilika kwa asilimia 95 katika mikoa yote  ya Tanzania bara na  maeneo machache hawajakamilisha kutokana na changamoto  mbalimbali ikiwemo  upatikanaji wa malighafi ya ujenzi , uchaguzi wa maeneo ya ujenzi  na hali ya hewa.

Waziri Ummy  amemuhakikisha Rais wa Jamhuro ya Muungano wa Tanzania  kuwa hadi kufikia tarehe 15 januari, 2022 madarasa yatakuwa yamekamilika na wanafunzi wataanza masomo yao.

Akitoa taarifa ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo kwa ustawi wa taifa  na mapambano  dhidi ya UVIKO -19 Ikulu Jini Dar-es-salaama Waziri Ummy  amesema  kiasi cha shilingi bilioni 240  ziliidhinishwa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa  12, 000 ya shule za sekondari na bilioni 60 kwa ajili ya ujenzi  madarasa ya shule shikizi za msingi  na shilingi bilioni 4 kwa ajili  ujenzi wa mabweni 50  kwa  wanafunzi wenye mahitaji maalumz

Ameendelea kufafanua kuwa kiasi cha shilingi  bilioni  203.1 zilitolewa kwa ajili ya Sekta ya Afya na bilioni 5  kwa ajili ya kuboresha mazingira  ya kufanyia biashara  kwa wafanyabiashara wadogo.

Amesema  hadi kufikia  tarehe 31 Disemba, 2021 kwa upande wa sekta ya elimu  msingi Ofisi ya Rais TAMISEMI  imepokea shilingi  bilioni 304  ambazo zilikuwa zimetengwa  kwa ajili ya ujenzi  wa madarasa  ya shule za Sekondari  na shule shikizi  jumla 15,000 pamoja na mabweni.

Ameendelea kufafanua kuwa  ujenzi wa madarasa ya shule za sekondari yatawezesha  wanafunzi wote 907,803 waliofaulu mitihani  ya kumaliza darasa la saba  na kuingia kidato cha kwanza  kuanza shule siku moja badala  ya kuwa na awamu tatu  kama ilivyokuwa mika iliyopita

Waziri Ummy amesema kuwa Ofisi ya Rais TAMISEMI  iliomba madarasa 12,000  ikiwa  na makadirio kuwa watoto watafaulu kwa asilimia 90 lakini  matokeo ya mitihani  ufaulu ni asilimi 82  hivyo kuna madarasa ya ziada  2,292  ambayo yatasaidia kupunguza msongamano wa wanafunzi wa vidato vingine katika shule za Sekondari.

Kuhusu ujenzi wa  madarasa  3000 ya shule shikizi Waziri Ummy amesema serikali imewasaidia watoto  wa umri mdogo kutembea umbali mrefu, kupata elimu  katika madarasa mazuri na ya kisasa badala ya madarasa  ya nyasi, yaliyotengenezwa na miti na ambayo hayavutii.

“Kwa upande kwa elimu  msingi tumepokea fedha kwa ajili ya ujenzi wa mabweni 50  katika shule  za msingi zenye wanafunzi  wenye mahitaji maalum  ambayo yatasadia kuboresha  mazingira ya watoto wenye ulemavu kuweza kujifunza na kusoma katika mazungira mazuri” amesisitiza Waziri Ummy

Ofisi ya Rais TAMISEMI  imeidhinishiwa  kiasi cha shilingi bilioni 512 kupitia mpango wa maendeleo wa taifa na mapambano dhidi ya ugonjwa wa UVIKO kwa ajili ya Sekta ya Elimu, Afya na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.