Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Waziri Ummy akoshwa na Utendaji wa watumishi TAMISEMI

Imewekwa tar.: April 10th, 2021

Na Atley Kuni, OR-TAMISEMI

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Ummy Mwalimu, ameridhishwa na kiwango cha utendaji kazi cha watumishi wa Ofisi hiyo kwakujitoa na kuhakikisha kila mmoja anatimiza wajibu wake bila kutegea.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo amesema, pamoja na muda mfupi alionao katika Wizara, lakini amekoshwa na kiwango cha utendajikazi, kwakuwa watumishi wa TAMISEMI wamekuwa tayari kujitoa kwa muda wa ziada ili kukamilisha malengo waliyojiwekea.

“Nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa kazi nzuri mnayofanya lakini pia niwapongeze kwa kazi nzuri iliyofanyika katika kipindi cha mwaka wa fedha 2020/21.  ikiwepo kukamilisha Jengo la Ofisi katika Mji wa Serikali wa Magufuli (Magufuli City) Mtumba na kuhamia, Usimamizi na Ufuatiliaji wa Ujenzi wa Majengo ya Utawala katika Mikoa, Halmashauri, Tarafa, Kata, Mitaa na Vijiji.” Amesema Mhe. Ummy.

Waziri Ummy amesema, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imefanya kazi kubwa ya usimamizi na ufuatiliaji wa ujenzi wa Hospitali za Wilaya na Vituo vya kutolea Huduma za Afya pamoja na kufanikisha uandikishaji wa Wanafunzi wa Darasa la Kwanza kutokana na Sera ya Elimu bila malipo, lakini pia amepongeza kwa usimamizi imara ulio wezesha kuongeza ufaulu wa wanafunzi wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita.

  

“Suala lingine natambua kumekuwa na Ongezeko la Mapato ya ndani katika ngazi ya Halmashauri kutoka vyanzo mbalimbali kama vile, ushuru wa mazao, ushuru wa huduma, vibali, ushuru wa magulio na masoko, ada za shule kwa Kidato cha Tano na Sita na ada za uchangiaji huduma za afya na vyanzo vinginevyo kulingana na mapato ya Halmashauri husika, hii yote ni kazi yakupigwa mfano ambayo TAMISEMI mmeweza kusimamia kwa weledi ikiwepo Ujenzi wa madarasa, Maabara, Mabwalo na Mabweni katika shule zetu” alisema Waziri Ummy.

Kuhusu Mabaraza ya wafanyakazi, Waziri Ummy amesema, mabaraza ya wafanyakazi yapo kisheria hivyo yatumike katika kujadili kwa kina mambo yote waliyopanga ili tija iliyo kusudiwa ipatikane.

“Sote tunatambua kwamba Mabaraza ya Wafanyakazi ni Vyombo vya Kisheria vilivyoundwa chini ya Sheria ya Mashauriano katika Utumishi wa Umma ya Mwaka 2003 Kifungu cha 30(3) (The Public Service Negotiating Machinery, Act 2003) kwa lengo la kuongeza tija na uwajibikaji mahali pa kazi”.

Awali akimkaribisha kwa ajili ya uzinduzi wa Baraza hilo, Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, alisema Madhumuni ya Baraza la Wafanyakazi ni kutoa fursa kwa watumishi kupitia wawakilishi wao, kujadiliana juu ya masuala mbalimbali ya msingi yanayohusu tija na ufanisi kwa upande mmoja na maslahi ya watumishi kwa upande mwingine.

“Baraza la Wafanyakazi linaongeza ushiriki wa Wafanyakazi katika uendeshaji wa shughuli za Taasisi yao kama ilivyofafanuliwa katika Sheria ya Majadiliano ya Pamoja katika Utumishi wa Umma Sura 105” alisema Prof. Shemdoe.

Kupitia kikao hicho Wajumbe wa baraza hilo la wafanyakazi, limepitisha kwa kauli moja bajeti ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI yenye jumla ya shilingi 7,683,329,644,800.00 kwa ajili ya Fungu Na.56 Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Fungu namba. 2. Tume ya Utumishi wa Walimu na Mafungu 26 ya Mikoa.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.