• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aipongeza TARURA

Imewekwa tar.: December 2nd, 2021

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassimu Majaliwa amekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi mtandao wa barabara za lami wa kilomita 51.2 katika mji wa Serikali Mtumba 'Magufuli City' ambao unagharimu Sh bilioni 87.9.

Akizungumza mara baada ya kukagua mtandao wa barabara za lami katika mji huo ikiwa ni Uzinduzi wa Wiki ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru ameonesha kuridhishwa na kazi iliyofanyika na kuipongeza Ofisi ya Rais-TAMISEMI na TARURA kwa kazi nzuri.

Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa pia amezindua awamu ya pili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Mji wa Serikali.

" Barabara ni nzuri  na zinaakisi Mji wa Serikali, pongezi kwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na  Wakala wa barabara Vijijini na Mijini. Nimesikia kazi ambazo zimefanyika na ambazo bado zinaendelea kufanyika, hivyo endeleeni kusimamia kazi hii Ili ikamilike kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa."

" Nimefurahi mmeweza kutenganisha njia ya magari na watumishi wengine, hatua hii itasaidia kuepusha ajali katika barabara hizi. "

Aidha, Mhe. Majaliwa amewaagiza TARURA kutumia ubunifu huu katika njia mbazo wanasimamia ujenzi wake katika maeneo mbalimbali ili kupunguza ajali.

Awali, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini(TARURA) Mhandisi , Victor Self alisema ujenzi wa Barabara za lami ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali iliyotolewa Aprili 13 mwaka 2019  wakati wa uzinduzi wa mji wa Serikali kwa lengo likiwa ni kupunguza adha ya usafiri kwa watumishi hususani wananchi wanaofuata huduma katika Ofisi za Serikali.

Amesema mradi huo upo katika maeneo mawili ikiwa ni eneo la kaskazini Ofisi ya ubalozi wa Marekani na Serikali ya mapinzudi Zanzibar  na eneo la Kusini ambalo zipo Ofisi za Serikali na ofisi za mabalozi mbalimbali.

Amesema mradi huu unajumuisha ujenzi wa mtandao wa barabara za lami  kilomita 51.2 na kati ya hizo kilomita 11 imejenga kwa lami nzito na kilomita 11. 2 ni njia nne  na kilomita 28.2 zenye njia mbili.

Pia kutakuwa na njia za waenda kwa miguu, waendesha pikipiki na baiskeri kila upande, eneo kwa ajili huduma za majisafi na majitaka, umeme TEHAMA ambapo pia kutakuwa na mtandao wa mifereji yenye kilomita 94.5, karavati 100, madaraja 10 na taa za kuongeza magari.

" Pia katikati ya barabara tumetenga eneo la mita 9 Kwa ajili ya ujenzi wa mwendokasi na treni ya abiria hapo baadaye."

Amesema ili kukabiliana na Maji Katia eneo hilo, TARURA inajenga maeneo mawili yankukusanyia maji ambapo eneo Mona litakuwa na uwezo wa kuhifadhia maji mita za ujazo 9000 na eneo lengine la ujazo mita za ujazo 14,000.

Mhandisi Self amesema  mpaka sasa kazi imefikia asilimia 88 na unatarajia kukamilika Desemba 30 mwaka huu na tayari mkandarasi amelipwa Sh bilioni 61.7 sawa na asilimia 77 wakati Makandarasi mshauri amelipwa Sh bilioni 755 sawa na asilimia 80 ya malipo.



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.