Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WAZIRI KAIRUKI AKABIDHIWA YA MIRADI YA BILIONI 1. 1 NA WORLD VISION WILAYANI KOROGWE

Imewekwa tar.: July 7th, 2023

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Angellah Kairuki amezindua vyumba vya madarasa na kupokea miradi iliyotekelezwa kwa ufadhili kwa Shirika la World Vision katika Halmashauri ya Wilaya Korongwe yenye Jumla ya takribani bilioni 1.1 ambayo inawanufaisha Wananchi zaidi ya 13,700.

Waziri amezindua na kupokea miradi hiyo tarehe 06 Julai 2023 iliyotekelezwa katika Kata za Mnyuzi na Kwagunda  Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga katika sekta ya Elimu, Afya na Maji.

Waziri Kairuki amekagua na kuzindua Vyumba 8 vya madarasa na ofisi ya walimu, ikiwa ni pamoja na madawati 300, nyumba ya watumishi yenye uwezo wa kuchukua familia 2 na matundu 48 ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi.

Aidha, amekagua upanuzi wa Zahanati ya Mnyuzi kwa kujengwa jengo la la Wagonjwa wa Nje (OPD) pamoja na huduma ya Mama na Mtoto, nyumba ya wataalam wa afya, vifaa tiba  na choo kwa ajili ya matumizi ya wagonjwa.

Wakati akikabidhiwa miradi hiyo, Waziri Kairuki kwa niaba ya Serikali amelishukuru Shirika la World Vision Tanzania kwa kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha maisha ya watoto, familia na jamii kwa ujumla.

Waziri Kairuki ametumia nafasi hiyo kuelezea kazi iliyofanywa na Serikali, amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/23 zaidi ya shilingi milioni 121.1 ambazo zilielekezwa katika miradi ya maendeleo katika sekta ya elimu katika Mkoa wa Tanga.


Amesema Serikali ilitoa shilingi milioni 584 kujenga shule Mpya ya Sekondari katika kata ya foroforo,  shilingi milioni 260 zilipalekwa shule ya Sekondari Mnyuzi na Magoma kujenga mabweni vilevile shilingi milioni 699 zimetolewa kupitia Mradi wa BOOST kuboresha miundombinu ya madarasa na kujenga shule mpya.

Katika Sekta ya miundombinu, Waziri Kairuki amesema katika mwaka wa fedha wa 2023/24 Serikali imetenga Shilingi Bilioni 37 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya barabara kupitia TARURA katika Mkoa wa Tanga.

Kadhalika, Katika Sekta ya ya Afya amesema Serikali itatoa milioni 150 kukamilisha Zahanati ya Mnyuzi.

Kwa Upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa World Vision Tanzania, James Angawa amesema Shirika hilo litaendelea kuwa mstari wa mbele kushirikiana na Serikali kuleta maendeleo kwa watanzania na wamepanga kuwafikia watoto milioni 3.2 wanaoishi katika mazingira magumu katika kipindi cha miaka miwili.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.