• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo

Watumishi wa TAMISEMI waadhimisha siku 365 za Rais SSH kwa kufanya mazoezi

Imewekwa tar.: March 19th, 2022

Watumishi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI pamoja na Taasisi zilizo chini ya Ofisi hiyo wameadhimisha siku 365 za Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanya mazoezi ili kuimarisha miili yao waweze kutekeleza kauli Mbiu ya Kazi iendelee

Akizungumza katika kilele cha mbio za pole (Joggins) Mkurugenzi wa Utumishi na Rasilimali Watu Ofisi ya Rais TAMISEMI Victor Kategere amewaasa watumishi hao kuendelea kulinda afya zao ikiwa ni pamoja na kuendelea na  utaratibu mzuri wa kufanya mazoezi ili kujikinga na magonjwa.

Katika mbio hizo (jogging) zilizofanyika kwa umbali wa kilomita 7 kuzunguka barabara za Mji huo wa Serikali Kategere amesema ni wajibu wa kila Taasisi kuhakikisha afya za watumishi wao ni nzuri kwani kama mtumishi hawezi kufanyakazi kwa uweledi unaotakiwa kama afya zao ni dhaifu, hivyo suala ya ufanyaji mazoezi lichukuliwe kwa uzito katika kila Taasisi”

Aidha, amesema ni wajibu wa kila mtumishi kulinda afya yake kwa kufanya mazoezi na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza na pia kuongeza ufanisi sehemu zao za kazi lakini pia mazoezi hayo yafanyike walau mara mbili kwa mwezi.

“Tukio lililofanyika leo sio tukio dogo hivyo ni vema mazoezi hayo yakafanyika kila siku za jumamosi walau mbili kila mwezi lakini pia mazoezi hayo yanaweza kufanyika kila siku jioni baada ya muda wa kazi kwisha katika viwanja vya Serikali Mtumba”

Amefurahishwa na mwitikio mkubwa wa Taasisi nyingine zilizopo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI zilizojitokeza kushiriki mazoezi hayo ikiwa ni moja ya kudumisha uhusiano bora baina yao.

Naye Enidi Jofrey wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) ambaye ni mmoja wa washiriki wa mbio hizo amesema anaushukuru Uongozi wao wa Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kuwakutanisha watumishi wote kwa pamoja katika tukio hilo kwani ni moja ya njia za kujuana na kujenga ujamaa baina yao. Ametoa maoni yake kuwa anatamani zoezi hilo liwe endelevu kwani ni jambo nzuri la kuimarisha afya zao.

Mazoezi hayo yamefanyika katika Mji wa Serikali Mtumba na baadhi ya Taasisi nje ya Ofisi ya Rais TAMISEMI zilihudhuria ambazo Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini ni ikiwa ni pamoja na Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ambazo ni Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo (LGTI) na Wadau wengine wa michezo ambao ni Muungano Jogging.


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.