• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WASIMAMIZI WA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA MIKOA NA HALMASHAURI TUNZENI VYUMBA VYA TAKWIMU VILIVYOBORESHWA-DKT. MAHERA OR -TAMISEMI

Imewekwa tar.: September 14th, 2023

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Charles Mahera ameielekeza Timu ya Uendeshaji ya Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii katika Mikoa na Halmashauri (RHMT/CHMT) kutunza  vyumba vya  takwimu vilivyoboreshwa ili viwasadie katika utendaji wa kazi zao.

Dkt. Mahera ameyasema hayo Septemba 13, 2023 Jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi  kinachohusu Matumizi ya Takwimu za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii kwa Waganga Wakuu wa Halmashauri za Dodoma na Dar es Salaam.

Akielezea umuhimu wa kutoa huduma bora za afya  kwa wananchi Dkt. Mahera amesema ni pamoja na kuboresha aneo la matumzi ya takwimu na  ukusanyaji wa taarifa za wagonjwa kupitia mifumo mbalimbali iliyopo katika hosptali zetu amesema matumizi hayo ya mifumo yanaisaidia Serikali kuzichakata taarifa za mgonjwa na kuzitumia katika mipango mbalimbali ili kubaini changamoto ambazo zitafanyiwa kazi kwa wakati.

Dkt. Mahera amesema, kuanzishwa kwa vyumba maalumu vya takwimu ni kwa ajili ya kusaidia  timu kukaa pamoja na kuchakata takwimu “Situation Room (SR) ili kuweza kutambua mapungufu na kisha kufanya maamuzi sahihi kupitia taarifa zilizopatikana katika mfumo wa IMES   (Integrated Monitoring and Evaluation System na DHIS2).

Amesema vyumba vya ukusanyaji wa takwimu vitasaidia  timu ya uendeshaji huduma za Afya, Ustawi wa Jamii kufanya  usimamizi shirikishi kupitia taarifa mbalimbali zilizopo kisha kufanya usimamizi shirikishi ambao utaleta matokeo chanya katika kuboresha huduma za afya.

“Kupitia Mradi wa Data Fi, imeweza kujenga vyumba vya ukusanyaji wa takwimu katika Halmashauri 4  sambamba na kutoa  mafunzo” amesema Dkt. Mahera

Dkt. Mahera amewaelekeza  watalaam hao kutumia vyumba hivyo na kuchambua takwimu za maeneo ya huduma katika eneo la Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe na kuwajengea uwezo watumishi wote waliko chini  yao ili kuingiza takwimu sahihi katika mifumo  iliopo na kuwataka kubaini changamoto zilizopo na kuzitatua kwa wakati.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • GEITA YAENDELEZA UBABE KIKAPU WASICHANA

    June 12, 2025
  • MWANZA YAIADHIBU PWANI SOKA MAALUMU WASICHANA

    June 12, 2025
  • SANAA ZA MAONESHO ZAANZA RASMI UMITASHUMTA 2025 MKOANI IRINGA

    June 11, 2025
  • KILIMANJARO, RUVUMA NA NJOMBE MABINGWA RIADHA MAALUMU UMITASHUMTA 2025

    June 11, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.