Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA SEQUIP 891 WAASWA KUYATUMIA MAFUNZO KUONGEZA UFAULU WA SAYANSI NA HISABATI SHULENI

Imewekwa tar.: January 16th, 2025

 Na Fred Kibano - Shinyanga

Katibu Tawala Msaidizi (ELIMU) Bw. Samson Hango amefungua Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Walimu Kazini (MEWAKA) na kuwataka washiriki wapatao 895 kwenda kuyafanyia kazi mafunzo hayo ili kuinua kiwango cha taaluma shuleni.

Bw. Hango ameyasema hay oleo tarehe 16 Januari, 2025 Manispaa ya Shinyanga na kuwataka washiriki hao Kwenda kutumia ujuzi watakaoupata ngazi ya shuleni kwani Serikali inatarajia matokeo Chanya baada ya mafunzo hayo.

Aidha, alisema Mradi wa SEQUIP unatekeleza afua zake ikiwa ni pamoja na ujenzi wa miundombinu na uimarishaji wa ufundishaji na ufundishaji shuleni, kutoa mafunzo kazini (MEWAKA) hatua ambayo ilichukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuanza na ujenzi wa miundombinu ya shule za wasishana za Mikoa pia ujenzi wa shule za sekondari za kawaida na shule za sekondari za amali na shule salama ili kuboresha elimu nchini.

Naye Bw. Ladslaus Balige Mratibu wa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI inaendesha mafunzo ya walimu wa sayansi waliopo kazini ambapo jimla ya walimun wa sayansi 881na Wathibiti Ubora wa Elimu 14 wanapatiwa mafunzo hayo.

Aidha, Bw. Baligew amesema matarajio ya Serikali baada ya mafunzo hayo kuwa kutakuwa na ongezeko la umahiri wa walimu katika masomo ya sayansi na hisabati kama vile ufundishaji wa mada ngumu na kuongezeka kwa wanafunzi katika elimu ya sekondari ya juu, vyuo vya kati na elimu ya juu katika masomo yanayoambatana na sayansi na hisabati.

Kwa upande wake Dkt. Absalom Mbilingi ambaye ni Mwenyekiti wa wawezeshaji wa Mafunzo hayo (MEWAKA) amewataka washiriki kushiriki kikamilifu wakati wote wa mafunzo ili Kwenda kuboresha mchato wa ujifunzaji na ufundishaji nje na ndani ya darasa lakini pia kwenda kuwawezesha walimu wenzao ngazi ya shule hususani juunya upimaji wa wanafunzi, ufaraguaji wa zana na njia shirikishi za ufundishaji hali inayotarajiwa kuongeza idadi na ufaulu wa wanafunzi wanaosoma masomo ya sayansi na hisabati kwenye shule wanazofundisha.

Mafunzo hayo yanafanyika kwa muda wa siku tano lengo likiwa ni kuwajengea uwezo walimu wa sayansi na hisabati kuimarisha ujifunzaji na ufundishaji shuleni yanahusisha mikoa mitano ya Shinyanga, Geita, Manyara na Simiyu.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.