Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WANANCHI WAASWA KULITUNZA DARAJA LA BEREGA-DUMBALUME

Imewekwa tar.: June 23rd, 2023

Asila Twaha, Kilosa

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Denis Londo ametoa wito kwa  wananchi wa Wilaya ya Kilosa  Kijiji cha Berega Kata ya Berege  kulitunza na kulilinda daraja la  Berega- Dumbalume linalojengwa chini ya Wakala wa Barabara za  Vijijini na Mijini(TARURA) amesema kukamilika kwa daraja hilo kutaondoa adha na changamoto iliyokuwepo kwa muda mrefu katika eneo hilo.

Mhe. Londo amesema hayo Juni 23, 2023 akiwa ameambatana na  wajumbe wa Kamati hiyo wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi unaoendelea katika daraja hilo lilipo Halmshauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.

Amesema fedha zilizotumika kujenga daraja hilo ni dhahiri kuwa, Serikali imejipanga kuendelea kuwandoa wananchi wake katika umasikini kwani uwepo kwa miundombinu bora ya barabara inasaidia kurahisisha huduma za kijamii kama hospitali, kuwapunguzia gharama wananchi hasa wanaojishughulisha na biashara za uzalishaji wa mazao kwa kutumia usafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine lakini pia kuwapunguzia gharama za kununua hasa zana za kilimo kama pembejeo, mbegu na mbolea.

“miundombinu ya baraabara ikiwa si mizuri mfanyabiashara yoyote yule lazima apandishe bei  kutokana na changamoto ya barabara lakini  barabara na madaraja zikiwa nzuri  gharama za bidhaa zitapungua  wananchi wetu watapata nafuu ya gharama ya maisha sababu  wengi wanajishughulisha na kilimo na  gharama kubwa ni pembejeo sasa kukamilika kwa daraja hili kwakweli litasaidia kutupunguzia gharama ya vitu sababu ya usafirishaji” 

Mhe. Londo ametoa wito kwa viongozi wa eneo hilo kuhakikisha wanalisimamia na kulilinda daraja hilo kwa kutoa elimu kwa wananchi kuepuka kulima na kufanya shughuli zozote hasa zinazoweza kusababisha uharibifu wa   mmomonyoko wa udongo ambao unaweza kuharibu kingo na miundombinu ya daraja hilo.

Amesema daraja hilo likikamilika litasaidia usafiri wa wananchi  na usafirishaji wa bidhaa  kutoka Wilaya za Handeni na  Kilindi kwani itakua ni rahisi  kwa wananchi kuweza kusafirisha bidhaa na biashara zao kutoka sehemu moja na nyingine.

Awali akisoma taarifa ya mradi Mhandisi Mkazi Bw. David Mwakalalile amesema  daraja hilo lina urefu wa mita 140 na upana mita 11 linalojengwa chini ya Mkandarasi Nyanza Road Works Limited Mwanza litaharimu Shilingi Bilioni 7.9 na  amesema atasimamia Mradi huo kwa ubora na  kukamilika kwa wakati.

Kwa upande wa Mbunge wa Jimbo la Kilosa  Mhe. Profesa Palamagamba Kabudi ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa kwa wananchi sio tu kwa usafirishaji wa  biashara zao lakini pia kutatua changamoto zilizokuwa zinatokea kwani wapo watu waliopoteza maisha kabla ya kuwepo kwa daraja hilo.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.