Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Wakuu wa Mikoa waaswa kusimamia miradi, kutatua kero za wananchi

Imewekwa tar.: March 17th, 2024

Na. Fred Kibano, Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kote nchini kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo na utatuzi wa kero za wananchi.

Mhe. Mchengerwa alitoa kauli hiyo katika ukumbi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 16 Machi, 2024 wakati akihitimisha kikao kazi cha kujadili Sura ya Mipango na Bajeti ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Tume ya Utumishi wa Walimu, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa fedha 2024/25.

 “Pamoja na mafanikio makubwa ya matumizi ya Force Account unahitajika usimamizi madhubuti. Yapo maeneo yaliyofanya vizuri sana kupitia utaratibu huo lakini pia yapo maeneo ambayo utekelezaji wake si wa kuridhisha. Hivyo, ninahitaji mkasimamie vizuri fedha za miradi inayoletwa na Serikali katika maeneo yenu. Hakikisheni mnaendelea kufuatilia na kukagua kila hatua ya miradi. Msisubiri hadi mambo yaharibike ndipo muunde timu za uchunguzi kwani utakuwa hujasaidia kitu bali utaongeza gharama za uendeshaji kwa Serikali’ Mhe. Mchengerwa.   

Aidha, Mhe. Mchengerwa amewataka viongozi hao kusimamia ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwani ni kipambele cha Serikali ikiwa ni pamoja na matumizi ya mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa mapato na wao kama viongozi hawana budi kuisimamia kwa weledi. Kwani matumizi ya mifumo hiyo imeonesha mafanikio makubwa katika kuongeza mapato ya Serikali yaliyokuwa yakipotea kutokana na watumishi wasio waaminifu.

“mkakati wetu wa kujitegemea kibajeti unategemea uwezo wetu wa kukusanya mapato ya ndani. Simamieni kikamilifu makusanyo ya mapato kwenye maeneo yenu kwa kutumia mashine za kielektroniki” alisema Mhe. Mchengerwa.

Amesema kuna baadhi ya watendaji na watumishi wanaohusika na masuala ya fedha wamekuwa wakisaidia kuchapusha fedha nje ya mfumo wa fedha halali kwa kuzima mashine za kielektroniki na mapato kuingia kusiko husika na kwamba suala hili ni kuihujumu Serikali na halikubaliki na wao kama viongozi wa mikoa wanatakiwa kulisimaia kwa nguvu zote.  

Kwa upande wake Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Adolf Ndunguru akitoa maelezo ya awali amewashukuru Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa kwa kazi nzuri wanazozifanya katika mikoa yao lakini pia amesema lengo la kikao kazi hicho ni kujadili utekelezaji wa mipango na bajeti kwa mwaka uliopita 2022/2023 na pia kupata mwelekeo wa utekelezaji wa mwaka ujao 2024/2025, lengo pia likiwa ni kujenga uelewa wa pamoja kwa maana ya ufahamu wa vipaumbele vya Taifa na mikoa katika mwaka 2024/2025.  

Kikao kazi hicho kimehudhuriwa na Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Taasisi zilizopo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, baadhi ya Wizara za kisekta na baadhi ya Maafisa wa Ofisi ya Rais TAMISEMI.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.