• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Wakuu wa Mikoa Kusimamia Usajili wa wakulima utoaji mbolea ya ruzuku

Imewekwa tar.: September 29th, 2022

Na Fred Kibano, Dodoma

Serikali imewaagiza Wakuu wa Mikoa kote nchini kusimamia kwa ukamilifu zoezi la kuwasajili wakulima kwa ajili ya zoezi la Mfumo wa utoaji wa mbolea ya ruzuku kwa msimu wa mwaka 2022/20223

Hayo yamesemwa na Innocent Bashungwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI wakati akitoa salamu kwenye kikao maalum kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Kilimo kilichowahusisha Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika ukumbi wa St. Gaspar Jijini Dodoma hivi leo

“lipo suala la wakulima waheshimiwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa, ili tuweze kupeleka huduma kwa mkulima, kuna suala la kusajili wakulima wetu, Wizara ya Kilimo inatutegemea sisi ili kuhakikisha suala la kuwasajili wakulima linafanikiwa kwa kiasi kikubwa”

Bashungwa amesema pia lengo la kikao hicho ni sehemu ya kujipanga katika kuhakikisha utekelezaji wa dira na maelekezo ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha yanatokea mapinduzi chanya kwa wakulima kote nchini.

Akitoa hotuba katika kikao hicho, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema wizara yake inazingatia teuzi za Bodi za Kilimo kuwa na Mkuu wa mkoa kama mjumbe kwani wao pamoja na Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa ndio kama mikono ya wizara ya kilimo na lazima wahusishwe kwenye masuala yote ya kilimo kwenye maeneo yao.

Bashe amesema katika mwaka huu wa fedha Wizara ya Kilimo itaajiri Wahandisi wa umwagiliaji ambao watapelekwa katika kila halmashauri zoezi ambalo litakwenda sambamba na kuwapatia magari kwa ajili ya ufuatiliaji wa kazi zao.

Pia wizara hiyo inaendelea kugawa pikipiki kwa Maafisa Ugani ambazo idadi yake itafikia 7,000 kwa ajili ya maafisa hao ngazi ya halmashauri Tanzania Bara kuweza kuwahudumia wakulima kwa kuongeza uzalishaji na kupunguza gharama za kilimo.

Aidha, amesema Mfumo mpya wa ruzuku ya utoaji wa mbolea unatumia kanzi-data kuanzia ngazi ya kitongoji, kijiji hadi ngazi ya juu na mpaka sasa jumla ya wakulima halali 1,297,240 wamekwishasajiliwa.

Katika hatua nyingine Waziri Bashe amesema Wizara yake inatarajia kujenga maghala 62 mapya kwa ajili ya kuhidhia mazao ambapo mkoa wa Ruvuma utakuwa na maghala 31sawa na asilimia 80 ya maghala yote.  

Kwa upande wake Mkurugeni wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea nchini (TFRA) Dkt. Stephan Ngailo amesema jumla ya shilingi Bilioni 150 zimetolewa na Serikali katika mwaka huu wa fedha kwa ajili ya kutekeleza Mpango wa utoaji wa mbolea ya ruzuku kwa wakulima nchini ili kuongeza uzalishaji wa mazao, kupunguza gharama ya mbolea, kulinda usalama wa chakula, kuongeza upatikanaji wa bidhaa za viwanda, kuongeza fedha za kigeni na kuimarisha upatikanaji wa ajira nchini.

Akiongea kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela amesema kuwa suala la wakulima ni sehemu ya jukumu lao na hivyo watalitekeleza kama ilivyoagizwa.

“sisi kama unavyotuona hii ni sehemu ya wajibu wetu, kwa niaba ya wenzangu nikuhakikishie hatuwezi kurudi nyuma tunaunga mkono hii kazi na tunaenda kuitekeleza kama inavyotakiwa” alisema Mhe. Mongela.

Kikao kazi hicho cha siku moja kilikuwa na lengo la kuwakutanisha Viongozi hao na wizara mbili ili kuona namna ya kumsaidia mkulima nchini na kukuza ustawi wa uchumi wa mazao kwa ujumla.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.