Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Ukerewe wakaa mguu sawa kupokea watoto wote kidato cha kwanza 2021

Imewekwa tar.: January 8th, 2021

Na Atley Kuni, Ukerewe, MWANZA

Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, imejipanga kuhakikisha wanafunzi wote waliofaulu darasa la saba, wanaotarajiwa kuanza masomo yao ya kidato cha kwanza tarehe 11 Januari, 2021 wanajiunga elimu hiyo ya Sekondari bila kukosa.

Mkuu wa Wilaya ya ukerewe Mhe. Cornel Magembe, akimuelezea hali ya elimu wilayani humo, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, TAMISEMI anaye shughulikia elimu Gerald Mweli, alisema watoto wote waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2021 wataingia Sekondari bila kukosa.

“Naibu Katibu Mkuu, naomba nikuhakikishie kuwa, watoto wote 8184, waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka huu, sisi kama Wilaya  hatuna wasiwasi, kwakuwa wote wataingia kuanza masomo yao bila kukosa, kwani tumejipanga na tuna vyumba vyakutosha kwa ajili ya wkuwapokea bila kuacha hata mmoja, na ndio maana utaona sisi katika Wilaya yetu, hatuna mamabo ya chagua la pili.”alisema Magembe.

Mbali yakuelezea juu ya maandalizi yakuwapokea kidato cha kwanza, Mkuu huyo wa Wilaya, hakusita kufikisha ujumbe wake kwa kiongozi huyo   kuhusiana na kujidhatiti kwakujenga jumla ya vyumba zaidi ya 300 kwa nguvu za wananchi na hivyo wanahitaji nguvu ya ziada ya Serikali kuu kwaajili yakukamilisha ili vianze vyumba husika vianze kutumika.

Akijibu maombi hayo, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Geraid Mweli, ambaye yeye na ujumbe wake wapo wilayani humo kwa ziara za kikazi, alimhakikishia Mkuu huu huyo wa Wilaya kuwapa ushirikiano wakutosha ili malengo waliojiwekea yaweze kutimia.

“Mhe. Mkuu wa Wilaya kwanza niwapongeze kwa hatua kubwa mliyopiga katika Nyanja ya elimu, ninyi ni mfano wa kuigwa, siwezi kusema vyumba vyote 200 mlivyo omba kuwasadia itakuwa hivyo, lakini kwa kadri itavyo wezekana tutajitahidi kupitia Programu  tofauti tofauti kama EPforR na Seqiup, lakini tunaposema Serikali ni pamoja na ngazi ya Halmashauri, hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri lazima naye alione hili”. Amesema Mweli.

Naibu Katibu Mkuu Gerald Mweli, alikuwepo katika ziara ya kikazi wilayani humo, ambapo pamoja na mambo mengine, ametumia fursa hiyo, kukagua, kuzindua miradi ya madarasa ya elimu ya awali na kuongea na watumishi walimu na waratibu elimu kwenye Wilaya hiyo.

 

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.