• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

TRIONI 1.15 KUBORESHA MAZINGIRA YA UJIFUNZAJI NA UFUNDISHAJI NCHINI

Imewekwa tar.: June 6th, 2022

Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Dunia  imezindua program ya kuimarisha ujifunzaji wa wanafunzi wa elimu ya awali  na Msingi (BOOST wenye thamani ya shilingi trilioni 1.15 utakaosaidia  kuboresha mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji, kuboresha ujuzi na ubora walimu katika ufundishaji darasani na kuimarisha upatikanaji wa rasilimali wa kuwezesha utoaji wa huduma  katika Mamlaka za Serikali za Mitaa

Akizindua proramu hiyo leo tarehe 6 June, 2022 , Jijini Arusha Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adalf Mkenda amesema program hiyo itatekelezwa katika Mikoa yote ya Tanzania Bara baada ya kusaini rasmi tarehe 17 Disemba, 2021 na kuanza utekelezaji wake mnamo tarehe 24 April, 2022

Amesema Programu itajikita katika afua za kuboresha miundombinu ya shule za msingi kwa kuzingatia mahitaji hususani ujenzi wa madarasa, uimarishaji wa mpango wa shule salama, kuimarisha uwiano wa uandikishwaji wa wanafunzi kwenye elimu ya awali, kuboresha vifaa vya ufundishaji katika madarasa ya elimu ya awali, uimarishaji na uendelezaji  mpango wa mafunzo ya walimu kazini na kuimarisha vituo vya walimu wa shule za msingi na kuendeleza utengaji wa bajeti

Prof Mkenda amesema program hiyo itatekelezwa kwa muda wa miaka mitano kuanzia mwaka 2021/2022 hadi 2025/2026 na unathamani ya dola za kimerikani shilingi bilioni 500 ambazo ni sawa na takribani shilingi trioni 1.15 za kitanzania  na afua zote zitatekelezwa kwa utaratibu wa lipa kulingana na matokeo.

Aidha amesema matokeo yanayotarajiwa kupatikana katika utekelezaji program hiyo ni vyumba vya madarasa 12,000 kujengwa ambapo lengo ni ni kujenga vyumba vya madarasa 3000 kila mwaka kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023, shule 600 kutekeleza mpango wa shule salama, vituo vya walimu shule za msingi 800 kuwekewa vifaa vya TEHAMA kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi kujifunza  na utoaji wamafunzo endelevu kwa walimu, madarasa 12,000 ya awali kuboreshwa na uandikishwaji wa wanafunzi wa Elimu ya awali kuongezeka, kuimarikakwa utawala katika ngazi ya shule za msingi na kuimarika kwa ubora wa walimu katika ufundishaji kutokana na mafunzo ya walimu kazini

Wakati huohuo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mhe. David Silinde amesema serikaliimepanga kuwajengea uwezo Makatibu Tawala wa Mkoa, Maafisa elimu Mkoa, Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa elimu wa Halmashauri, Maafisa elimu kata, wakuu wa shule na waalimu juu ya utekelezaji wa programu ya kuimarisha ujifunzaji wa wanafunzi wa Elimu ya Awali na Msingi

Naye  Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt Charles Msonde amesema serikali imechukua hatua mbalimbali katika kuhakikisha inaimarisha sekta ya elimu nchini   kwa kujiwekea mikakati madhubuti katika utekelezaji wa afua za elimi nchini



Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.