• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

SILINDE AISHUKURU SERIKALI KWA KUTENGA BIL 2.1 KWAAJILI YA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI

Imewekwa tar.: August 4th, 2022

OR-TAMISEMI

Naibu Waziri  Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kwa kuendelea kuboresha na kuimarisha Taaluma kupitia michezo nchini kwa kutenga fedha kiasi cha  Bil  2.1 kwaajili ya uendeshaji wa mashindano ya kimichezo kwa shule za Msingi (UMITASHUMNTA) na Sekondari (UMISSETA) nchini.

Akisoma taarifa yake  tarehe 04 Agosti 2022 katika Ufunguzi wa  Mashindano ya UMITASHUMNTA na UMISSETA  Mkoani Tabora  Silinde amesema kuwa  kwa mwaka 2022  Serikali imetenga  Shilingi Bil.2.1 kwaajili ya uendeshaji wa  mashindano  ya kimichezo katika ngazi ya  Msingi na Sekondari.

“Niendelee kuishuru Serikali yetu  inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuboresha na kuimarisha michezo katika  shule za  Msingi, Sekondari    kwa kutoa  fedha zaidi ya  Bil 2  kwaajili ya kuendesha  mashindano haya

Fedha hizo zimetumika  katika kuboresha miundombinu ya  viwanja vya michezo  pamoja na  kuwawezesha wanafunzi na walimu nchini kushiriki  mashindano yote yaliyopangwa  bila kikwazo chochote na kwa ufanisi mkubwa”Mhe. Silinde

Aidha  Mhe.  Silinde amesema kuwa  Serikali kupitia    ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wizara ya Elimu Sanyansi na Teknologia  pamoja na Wizara ya Sanaa Tamaduni na Michezo  imebainisha shule 56  nchini ambazo zitakuwa vituo vya kimichezo kwa wanafunzi  wa Shule  Msingi na Sekondari   ili kuendeleza vipaji walivyonavyo pamoja  na Taaluma zao.

"Kupitia Wizara za TAMISEMI, Elimu Sanyansi na Teknologia  pamoja na Wizara ya Sanaa Tamaduni na Michezo tumeweza kubaini shule 56 ambazo zitakuwa vituo vya kimichezo kwa wanafunzi wetu ambao wana vipaji ambao watachaguliwa na Mikoa husika ili tuweze kuendeleza vipaji vyao” Mhe. Silinde

Vilevile Mhe. Silinde amesema kuwa  Serikali imebainisha Mikoa ya Tanga, Mtwara na Tabora kama  vituo vitatu vya kimichezoa mbapo katika Mikoa hiyo   vitajengwa  viwanja mseto(Multi sports) kwaajili ya kuratibu michezo nchini   na tayari Katika Mkoa wa Tabora  ujenzi wa viwanja hivyo unaendelea   katika Shule za Sekondari  Tabora Wavulana na Tabora Wasichana.


Matangazo

  • Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023 June 05, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.