Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Serikali yasogeza huduma za afya karibu na wananchi

Imewekwa tar.: April 2nd, 2019

Mkurugenzi wa Idara ya afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Dkt. Ntuli Kapologwe  amesema kuwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeweza kuhakikisha inasogeza huduma za afya karibu na wananchi kwa kujenga miundombinu bora ya afya, kuongeza wataalam na kuhakikisha kuna vifaa na vifaa tiba.

Akihojiwa leo kuhusu uzinduzi wa Kituo cha afya cha Mbonde kilichopo katika Halmashauri ya Mji wa Masasi Mkoani Mtwara  kwa niaba ya vituo 352 vya kutolea huduma ya afya nchini Dkt. Ntuli Kapologwe amesema kazi ya OR-TAMISEMI ni kuratibu na kusimamia sera za afya nchini kuanzia  ngazi wa Sekretarieti za Mikoa na Serikali za Mitaa.

Dkt. Kapologwe anafafanua kuwa uzinduzi huo unafanyika katika kituo cha afya Mbonde ikiwa moja ya vituo 352 vya kutolea huduma nchini ambavyo vimejengwa ndani ya miaka mitatu katika Serikali ya awamu ya Tano na kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi inayotaka uboreshaji wa huduma za afya nchini kwa kusogeza huduma hizo karibu na wananchi.

Ameendelea kusema Serikali imeamua kufanya maboresho ya vituo vya kutolea huduma nchini na  kuhakikisha kuwa wananchi wanaweza kupata huduma za afya jirani na maeneo wanayoishi na huduma zinazotolewa kuwa zina ubora unaostahiki.

“ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekuwa akiweka msisistizo mkubwa katika Sekta ya Afya ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kuwa nchi yenye uchumi wa kati ifikapo 2025hivyo ni vyema tukahakikisha kila mwananchi anakuwa na afya bora ili aweze kutekeleza majikumu yake kikamilifu katika jamii” Anafafanua  Dkt.  Kapologwe

Amesema kuwa maboresho hayo hayalengi katika suala zima la ujenzi wa miundombinu ya afya pekee bali yanaenda sambamba na kuongeza  Rasilimali watu,  upatikanaji wa dawa na vifa na vifaa tiba  nchini.

Aidha Dkt. Kapologwe amesema katika vituo 352 vya kutolea huduma za afya nchini Serikali imeweza kukarabati Hospitali 6, ujenzi na ukarabati wa  Zahanati 39 na vituo vya afya 304  nchini. Hii inaweka historia kubwa ambayo haijawahi kutokea  tangu kupata kwa uhuru  ambapo kulikuwa na na vituo 518.



Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • FANYENI MSAWAZO SAHIHI WA WATUMISHI KATIKA SEKTA YA AFYA KATIKA HALMASHAURI ZENU – MHE. DKT. DUGANGE 

    June 10, 2025
  • MHANDISI SEFF AWATAKA MAKANDARASI MIRADI YA DHARURA (SERC)KUZINGATIA MASUALA YA USALAMA KAZINI NA UTUNZAJI MAZINGIRA.

    June 10, 2025
  • Vumbi Latimuka UMITASHUMTA Iringa: Dodoma, Songwe Zatingisha katika Mpira wa Mikono

    June 10, 2025
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA RASMI MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025

    June 09, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.