Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Serikali yaridhishwa na kasi ya ujenzi kituo cha afya Bunju

Imewekwa tar.: August 16th, 2020

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga  ametoa maelekezo kwa Halmashauri ya Manispaa ya kinondoni  kukamilisha upanuzi zahanati ya Bunju  ambayo imepandishwa hadhi na  kuwa Kituo cha Afya ifikapo  Septemba 20, 2020  ili kiweze kuanza kutoa huduma kwa wananchi

Ameyasema hayo leo  kwenye ziara ya kikazi ya kukagua  maendeleo ya miradi inayotekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni , Jijini Dar-Es Salaam

Akikagua ujenzi huo Mhandisi Nyamhanga amesema Serikali imetoa shilingi milioni 600 kwa ajili ya  upanuzi wa zahanati hiyo ili kukipandisha hadhi  na  kuwa kituo cha afya lengo likiwa ni kupunguza msongamano katika Hospitali ya Mwananyamala.

“Kumekuwa na msongamano mkubwa katika Hospitali ya Mwananyamala, kwa kuliona hilo Serikali iliamua kupandisha hadhi zahanati ya bunju na kuwa Kituo cha afya, hivyo Halmashauri inawajibu wa kuhakikisha wanasimamia kikamilifu ujenzi ili uweze kukamilika kwa wakati na kuaza kutoa huduma kwa jamii.”amesema Mhandisi Nyamhanga

Amesema kuwa zahanati hiyo kwa sasa inahudumia wananchi 65,000 hivyo kopandishwa kuwa kituo cha afya kitaweza kutoa huduma kwa zaidi ya  wananchi  laki moja  katika kata ya Bunju, na maeneo ya jirani na kuboresha huduma za afya karibu na wananchi

Mhandisi Nyamhanga anafafanua kuwa Serikali imewekeza kwenye miundombinu ya kutolea huduma ya afya, hivyo niwajibu wa wataalam wa afyanchini  kuhakikisha wanatoa huduma bora za kwa jamii ili kupunguza malalamiko.

Naye Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam Dkt. Rashid Mfaume amesema kituo hicho kikikamilika kitasaidia kupunguza msongamano kwenye Hospitali ya Mwananyamala ambapo kwa sasa wakazi wengi wa maeneo hayo hufuata huduma katika Hospitali hiyo.

Dkt. Mfaume amesema kituo hicho kitaweza kusaidia wananchi wa maeneo ya jirani kuja kupata huduma na kuwapunguzia adha wananchi  ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma katika hospitali za rufaa

Ameyataja majengo yanayojengwa kuwa ni jengo la mionzi, jengo la Mama na Mtoto, Maabara jengo la upasuaji na jengo la kuifadhia maiti ambapo yakikamilika kituo hicho kitaweza kutoa huduma ya upasuaji wa dharura na kuongeza mapato ya kituo hicho

Aidha Mhandisi Nyamhanga katika ziara yake katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Jijini Dar-es-salaam alikagua ujenzi wa Madarasa katika shule ya Msingi ya ndumbwi, na zahanati ya  Ndumbwi ambayo nayo imepandishwa hadhi na  kuwa kituo cha afya

Ikumbuke kuwa katika kipindi cha miaka mitano  chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Pombe Magufuli  Serikali imejenga Hospitali za Halmashauri 99,  vituo vya afya 487  na zahanati 1, 198  kwa lengo la kuboresha miundombinu ya kutolea huduma ya afya nchini

Na Angela Msimbira  DAR-ES-SALAAM

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.