Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

REJESHENI MIKOPO ILI WENZENU WAPATE KUKOPA –KAMATI YA LAAC

Imewekwa tar.: March 31st, 2023



Na. Asila Twaha, Nanyamba


Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imetoa wito kwa vikundi vinavyopatiwa mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri kurejesha mikopo waliyokopeshwa ili kutoa nafasi kwa vikundi vyengine kuweza kukopa.



Hayo yamebainishwa  leo Machi 28, 2023 katika  ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa,  Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoani Mtwara walipotembelea  Kikundi cha Vijana cha Kimbilio kinachojishughulisha na uzalishaji wa chaki.


Mwenyekiti wa Kamati  hiyo Mhe. Halima Mdee (Mb) amesema, fedha zilizotolewa na Serikali sio kwa ajili ya kutolewa bure bali ni kuwezesha jamii kujiendeleza kichumi katika kujitafutia riski na kujikwamua kimaisha, hivyo ni jukumu la kila kikundi kilichopatiwa mkopo kuweza kurejesha ili  kuwapa nafasi vikundi/jamii nyingine kuweza kukopeshwa.


“Tumekuja  kujiridhisha kama kweli mlipewa mkopo na  mnajishughulisha na biashara mliohitaji ”amesema Mhe.Mdee


Akielezea lengo la ziara hiyo  ni kutaka kujua maendeleo ya shughuli zinazofanywa na vikundi hivyo na kuwataka kuhakikisha wanarejesha  mkopo kwa wakati  ili wengine waweze kupatiwa mikopo hiyo.



Awali akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za kikundi Katibu wa Kikundi cha Vijana cha Kimbilio Bw. Shaibu Gobosi amesema wanaishukuru Serikali kwa kuwapa  nafasi na kuwaamini  kuwakopesha sh. mil. 38,000,000.00 ambapo wemeweza kuanzisha kiwanda cha uzalishaji wa chaki na kununua mashine na malighafi.


Gobosi ameeleza kuwa, pamoja na mkopo huo ameiomba Serikali kuisapoti  biashara yao iwe ni yenye kuleta tija na maendeleo kwa familia yao lakini jamii kwa ujumla.


Aidha, amesema Serikali ikiendelea kuunga  mkono jutihada zao italeta chachu kuimarisha vikundi vingine vya vijana wajasiriamali ndani na nje ya Halmashauri ya Mji Nanyamba.


Pia ameiomba Serikali kuwekeza  kwenye ununuzi wa chaki hizo katika kiwanda hicho ili kuwapa ari  ya kufanya kazi na kuongezeka  kipato.


“tupo wanachama 10 na hii imetusaidia kufanya kazi na tunaamini baadae tutapata manufaa lakini pia kwa sasa tunayo ajira sababu tunakuja hapa tunajishughulisha”


Amefafanua mikakati ya kikundi ni kujiwekeza zaidi  kwa   kutafuta masoko ndani ya Mkoa wa Mtwara na Nje ya Mkoa wa Mtwara sababu chaki wanazozalisha katika kiwanda hicho ni zenye ubora  na zimedhibitishwa  na Shirika la Viwango Tanzania (TBS).


“Tunashukuru Mkoa wa Mtwara zipo shule ambazo wanatumia chaki tunazozalisha, tunaiomba Serikali, kupitia kwa ninyi viongozi wetu mtusaidie kututangazia chaki tunazozalisha ziweze kutumika katika shule zote ndani ya Mkoa wetu na Nje ” amesema Gobosi


Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa imekipongeza Kikundi  hicho kwa uthubutu wa kuwa na wazo kujishughulisha na uzalishaji wa kutengeza chaki pia imewataka kuweka jitihada za pamoja kwa kushirikiana ili waweze kufikia malengo yao bila kukatishwa tamaa na kuondokana na tamaa za kuweka faida kwanza.


“jitahidini kufanya kazi kwa bidii ili muweze kurejesha mikopo na wwenzetu waweze kupatiwa endeleeni kuwa wabunifu kwa kufanya kazi yenye ubora zaidi”

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.