Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

RAIS SAMIA AMEFUNGUA NCHI NA KUSAIDIA ONGEZEKO LA UKUSANYAJI WA MAPATO- BASHUNGWA

Imewekwa tar.: August 9th, 2022

OR - TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  Mhe Innocent Bashungwa amesema kumekuwa na ongezeko la ukusanyaji wa mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa  kufuatia kufunguka kwa nchi na uwepo wa  mazingira wezeshi ya kukuza uchumi nchini.

Ametoa kauli hiyo leo  agosti 6, 2022 kwenye ziara ya Rais Samia ya  kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya ampao amempongeza Mheshiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufungua nchi.

Amesema kupitia takwimu za ukusanyaji wa mapato katika mwaka 2021/2022 Mkoa wa mbeya umekusanya kwa asilimia 105

Amemuhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa kwa kushirikiana na Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi watajipanga vyema kuhakikisha takwimu ya ukusanyaji wa mapato kwa asilimia 103 itakuwa ni kiwango cha kujipima hadi kufikia asilimia 150

Ameendelea kufafanua kuwa Mkoa wa Mbeya ni mfano wa kuigwa kwa kutumia mapato ya ndani ambapo kwenye halmashauri saba kila Halmashauri imejenga kituo cha afya kimoja ikiwemo Halmashauri ya Chunya.

Ameendelea kufafanua kuwa Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 150 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba ambavyo vitasambazwa kwenye vituo vya afya na Hospitali za Wilaya ili miundombinu inayojengwa iweze kutoa huduma bora kwa jamii.

kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Wilaya, Waziri bashungwa amesema katika mwaka wa fedha 2022/2023 Serikali itatoa kiasi cha ahilingi milioni 900 kuanza ujenzi wa Hospitali ya  Wilaya ya Chunya.

Akizungumzia kuhusu uhaba wa watumishi katika  Halmashauri ya Wilaya ya Chunya amesema katika ajira mpya zilizotolewa, Serikali imepeleka waalimu 65 na wauguzi 26 ili kupunguza uhaba wa watumishi  katika halmashauri hiyo.

Aidha, Kuhusu ujenzi wa miundombinu ya barabara kupitia TARURA amesema kuwa Serikali imeweza kuongeza bajeti  kwa asilimia 185 ambapo kwa  Halmashauri ya chunya walikuwa wanapata shilingi milioni 600 lakini katika bajeti ya 2022/2023 wametengewa  shilingi bilioni 2.3 ili ujenzi wa miundombinu ya barabara.

Bashungwa amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI itaendelea kushirikiana na wizara za kisekta kutatua kero za wananchi na haitakuwa kikwazo kusukuma miradi ya maendeleo ya nchi kwa wananchi.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.