• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Rais Samia aagiza kujengwa sehemu ya malezi ya watoto Soko Kuu Njombe Mji

Imewekwa tar.: August 10th, 2022

OR-TAMISEMI

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan ameagiza sehemu ya malezi ya watoto kujengwa katika Soko Kuu la Njombe Mji ili kina mama wanapoendelea na shughuli zao za biashara watoto wao wapate sehemu ya kujifunza na kupumzika.

Mheshimiwa Rais Samia ameyasema hayo leo Agosti 10, 2022 wakati akifungua Soko Kuu la Njombe Mji na kuridhishwa na miundombinu ya soko hilo na utaratibu uliowekwa wa kuwapanga wafanyabiashara wa soko hilo.

"Hii ndio maana halisi ya kurasimusha Sekta isiyo rasmi ukiangalia soko la zaman ha hili lilijengwa sasa utagudua kabisa kuwa  wafanyabiashara hawa sasa ni rasmi, hapo awali walikuwa wanafanya biashara kwenye maeneo ambayo si rasmi na wengine kwenye miundombinu chakavu nimeona picha ya soko la zamani, lakini kwa hapa sasa walipo kwa kweli panavutia na wanapata huduma zote muhimu.

"Pamoja na kuona wafanyabiashara wakiwa katika mazingira bora, lakini nimeona akina mama wakiwa wamebeba watoto mgongoni sasa niwaagize Mkuu wa Mkoa, Wilaya na Mkurugenzi kuangalia namna ya kutenga eneo na kujenga sehemu ya kuangalia watoto ili mama zao wanapoendelea kufanya biashara watoto waweze kujifunza a,b,c, kula vizuri na kupumzika.

“Lakini na akina mama muwe tayari kuchangia kidogo ili wale walezi wanaokaa na watoto wenu na kuwafundisha waweze kupata chochote, kwa hiyo hili mkoa mliangalie na mlifanyie kazi,"amesisitiza Mhe.Rais Samia.

Soko kuu la Kisasa la Njombe Mji lina ukubwa wa mita za mraba 9,186, sakafu (floors) tatu, lina mifumo na sehemu mbalimbali yakiwemo maduka 162, meza za biashara 407, vyoo 47, migahawa miwili, stoo sita, vizimba vya kuku 27, machinjio ya wanyama wadogo, sehemu za huduma za kibenki mbili, ofisi za utawala mbili, mfumo wa maji safi na maji taka na kisima kirefu cha maji.

Pia soko hilo lina uwezo wa kuchukua wafanyabiashara 680 na limegharimu shilingi bilioni 10.2 hadi kukamilika kwake.


Matangazo

  • Majina ya waliopata vibali vya Uhamisho wa Kawaida na Kubadilishana (Januari - Julai 2023) October 14, 2023
  • DMDP Documents October 12, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGIWA SHULE CHAGUO PILI MWAKA, 2023 October 04, 2023
  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MAAFISA TARAFA NA KATA IJUENI NA MUISIMAMIE MIRADI YA MAENDELEO

    November 26, 2023
  • WATENDAJI WA KATA NA MAAFISA TARAFA MSIKWEPE MAJUKUMU YENU-MHE MURAGILI

    November 23, 2023
  • SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA UTOAJI WA CHAKULA SHULENI

    November 17, 2023
  • UINGEREZA YATOA MAGARI KWA TAMISEMI NA WIZARA YA ELIMU

    November 17, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.