• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Miradi ya ujenzi wa EMD na ICU ikamilike kwa ubora na wakati –Dkt. Grace

Imewekwa tar.: December 3rd, 2021


Na Asila Twaha, OR - TAMSEMI

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya) Dkt. Grace Magembe amewataka wataalam wa Afya wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro isiyoleta manufaa katika kusimamia ujenzi wa miradi ya ujenzi wa EMD na ICU.

Akizungumza hayo Desemba 03, 2021 Jijini Dodoma wakati akifunga kikao kazi cha kuwajengea uwezo Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri, Waganga Wafawidhi na Wahandasi katika kusimamia miradi ya ujenzi wa majengo ya dharura (EMD) na ICU.

Dkt.Grace amesema siku walizokuwepo katika kikao hicho wanaporudi kwenye vituo vyao vya kazi waende wakashirikiane  kusimamia na kutekeleza miradi ya ujenzi wa EMD na ICU kwa ubora na wakati lengo likiwa wananchi waweze kupata huduma kwa haraka.

TAMISEMI imetengewa shilingi bilioni 493.9 sawa na asilimia 38a fedha zote hizi ni kwasababu ya sekta zilizopata athari za kiuchumi kutokana na ugonjwa wa COVID-19.

Aidha, amesema fedha zilizotolewa shilingi bilioni 236 kwa upande wa afya ni kutekeleza miradi inayolenga kujikinga ugonjwa wa COVID -19 ikiwemo miradi ya ujenzi wa majengo ya dharura na ICU.  

Akifafanua Dkt. Grace amesema kuwa, fedha hizo zimeelekezwa kutekeleza afua mbalimbali za kukabiliana na athari za COVID -19 zikiwemo ujenzi wa ICU 26, EMD 80, ununuzi wa magari ya kubebea wagonjwa(ambulances) 195, ujenzi wa mitambo mikubwa 6 ya kuzalisha oksijeni ambapo itakuwa na uwezo wa kuzalisha mitungi 200 kwa masaa 24 na ununuzi wa vifaa tiba kwa ajili ya kuimarisha huduma katika vituo vya kutolea huduma za Afya.

“ Twendeni tukasimamie, wananchi wanataka huduma sio mivutano asiye taka kufuata utaratibu kwa wakati hatua zitachukuliwa na ujenzi wa ICU na EMD unatakiwa usimamiwe kwa umakini ukikosea ujenzi maanayake hata kutoa huduma utakosea” amesisitiza Dkt. Grace

Mganga Mkuu wa Mkoa Mara Dkt. Juma Mfanga ameishukuru Serikali kwa kuleta fedha za miradi ya ujenzi wa EMD na ICU na kuihakikishia wanaenda kushirikiana kwa ukaribu na watendaji wote wakiwemo  na wahandisi ili kazi hiyo ifanyike kwa waledi, ubora na kukamilika kwa wakati.




Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.