• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Mikoa 12 yafuzu fainali mbio za mita 1500 UMITASHUMTA 2019

Imewekwa tar.: June 24th, 2019

Na Mathew Kwembe, Mtwara

Jumla ya washiriki 30 kutoka mikoa 12 nchini wamefuzu hatua ya fainali kushiriki mbio za mita 1500 zilizopangwa kufanyika kesho katika uwanja wa chuo cha ualimu Mtwara.

Washiriki hao 15 wavulana na 15 wasichana watashindana katika fainali za mbio ndefu za mita 1500 kwa ajili ya kuwapata washindi watatu kwa upande wa wavulana na washindi watatu kwa wasichana ambao wataibuka na medali za dhahabu, fedha na shaba.

Kwa mujibu wa Mratibu wa mashindano ya UMITASHUMTA taifa bwana Leonard Thadeo, mchezo huo wa riadha utachezwa kesho asubuhi ambapo utatanguliwa na fainali maalum za mbio fupi za mita 100 kwa wavulana na wasichana na kufuatiwa na mbio fupi za mita 200 kwa wavulana na wasichana.

Bwana Thadeo amewataja  waliofuzu fainali za mbio mita 1500 ni pamoja na Damian Christian wa Arusha, Hoja Samwel wa Simiyu, Robert Franciswa Singida, Frank Mashaka wa Mwanza, Paschal Juma wa Tabora  na Jackson Renatus wa Geita.

Wengine Amiri shaban wa Singida, Emanuel Ernest wa Manyara, Azari philipo wa Kigoma, Tululi Masanja wa Morogoro, Masanja Ngado wa Tabora, David Paulo wa Mara, Lenard Juma wa Geita, Saimon sangalali wa Mara na Maraba Madoshi wa Mwanza,

Kwa upande wa wasichana waliofuzu mita 1500 ni pamoja na Nyanzabe Mhalu wa Mara, Agnes Joseph wa Tabora, Salma Charles wa Shinyanga, Valaria wa Singida, Salma Musa Ismail wa Mwanza, na Faidha Ally wa Singida.

Washiriki wengine ni Grace Mpina wa Geita, Salome Ngogene wa Iringa, Taus Saimon wa Tabora, Hasja Mwinga wa Mbeya, Modesta Juma wa Geita, Winfrida Marwa wa Mara, Anita Fred wa Songwe na Veronica  Lubora wa Songwe.

Wakati huo huo michezo mbalimbali  imeendelea leo katika viwanja vya chuo cha ualimu Mtwara ambapo katika matokeo ya mpira wa mikono kwa wavulana Tabora iliifunga Mtwara 13-05, Lindi waliwafunga Pwani 05-03, shinyanga  wasichana waliwafunga Rukwa 09-05, Kigoma wasichana walifungwa na shinyanga 07-10, na Njombe wavulana walifungwa na Lindi 09-12.

Matokeo mengine yanaonyesha Mwanza wasichana walifungwa na Mbeya 10-12, katavi wavulana walifungwa na Dodoma 10-19, Manyara wasichana waliwafunga Kagera 18-4, huku Simiyu wavulana wakiwafunga Songwe 11-06, Dodoma wasichana wametoka sare na Dar es salaam kwa 17-17, na Mwanza wavulana wamewafunga Manyara kwa 18-16.

Pia Mtwara wasichana imefungwa na Geita kwa 03-22, Arusha wavulana wamefungwa na Morogoro 10-35, Simiyu wasichana wamefungwa na Katavi kwa 03-06, Dar es salaam wavulana wamewafunga Singida kwa 27-13, Singida wasichana wamewafunga songwe kwa 08-05 na Pwani wavulana wamewafunga Kigoma kwa magoli 12-08, Songwe wavulana wamefungwa na Geita kwa 14-22, Mara wasichana wamewafunga Rukwa kwa 19-03, Mara wavulana wamewafunga Iringa 38-06, Geita wasichana wamewafunga Morogoro 13-11 na Mtwara wamefungwa na Tanga kwa 06-18

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.