• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Maafisa elimu simamieni upatikanaji wa wanafunzi walioacha shule

Imewekwa tar.: March 31st, 2022


Na. Asila Twaha - TAMISEMI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Elimu) Mhe. David Silinde amewataka Maafisa Elimu Watu Wazima wa Mikoa na Halmashauri kusimamia upatikani wa taarifa sahihi za wanafunzi walioacha shule kwa sababu mbalimbali ili waweze kurudi shuleni.

Ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati wa kufungua Mkutano wa Mafunzo Elekezi yanayolenga kuboresha utoaji wa Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi lengo likiwa ni kujifunza na namna ya kuzitatua changamoto za elimu.

Mhe. Silinde amewataka wasimamizi wa elimu ya watu wazima kufanya kazi kwa weledi ili nafasi iliyotolewa na Serikali  kwa wanafunzi walioacha shule kwa sababu mbalimbali waweze kurudi shule kuendelea na masomo amesema Serikali  inatambua kuwa  jamii iliyoelimika yenye maarifa, ujuzi na uzalendo ndio msingi wa maendeleo ya ujengaji wa uchumi hasa ujenzi wa uchumi wa viwanda.

“Haya ni sababu ya usimamizi mzuri wa elimu ya Awali, Msingi Sekondari na Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo rasmi” amesema Silinde

Kuwepo kwa mpango wa uwiano kati ya elimu na jamii(MUKEJA)  na Mpango wa elimu ya msingi kwa watoto walioikosa (MEMKWA) Mhe. Silinde amesema, Serikali inatambua umuhimu wa elimu ya watu wazima na nje ya mfumo rasmi kupitia Sera ya elimu ya mwaka 2014 tamko namba 3.3.3. hii ni kutoa nafasi  kwa waliokosa fursa katika mfumo rasmi ili kujiendeleza na kutatua changamoto  za maisha au kuhitimu katika ngazi mbalimbali za elimu na mafunzo.

Akifafanua Serikali inaendelea kuboresha mazingira mazuri ya kufundishia na kujifunzia ili kupata idadi kamili ya walengwa wa elimu elimu ya watu wazima na nje ya mfumo rasmi ninawaelekeza fuatilieni upatikanaji sahihi wa takwimu  za elimu ya watu wazima na nje ya mfumo rasmi kwa kuendelea kuutumia mfumo wa BEMIS.

Kwa upande wa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Elimu) Gerald Mweli amewataka viongozi hao kuendelea kusimamia na kufuatilia wanafunzi wote walioacha shule kwa sababu mbalimbali amesema mpaka sasa takwimu zinaonesha zaidi ya wanafunzi 909 wamesharudi shule kuendelea na masomo kati ya hao wapo wenye sababu mbalimbali zikiwemo utoro na ujauzito.

“Nitoe wito hii idadi ya kwa wanafunzi waliorudi darasani kazi kubwa nyie ndio mmeifanya na Serikali ya Mhe. Samia Suluhu Hassan inatambua kazi yenu ndio mana imetoa fursa wanafunzi wote walioacha shule warudi darasani tekelezeni majukumu yenu tunajua bado wengine wapo tumieni taratibu za kazi  zenu ili kusiwe na sababu ya mtu kukosa elimu kwa kukosa fursa ambayo Mhe. Rais ameitoa.

Aidha, Mhe. Silinde amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmshauri zote kutenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi na kuzisimamia utekelezaji wake.

Naye Martha Ignatus (Afisa Elimu Watu Wazima) ameishukuru Serikali kwa kuendelea kuboresha mazingira ya watumishi na kuahidi maelekezo yote wanaenda kuyafanyia kazi na kuahidi upatikanaji sahihi wa takwimu.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.