Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTOAJI WA MIKOPO YA 10%

Imewekwa tar.: March 14th, 2022

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa imetembelea miradi ya vikundi vinavyonufaika na mikopo ya asilimia 10 katika  Halmashauri ya Jiji la Mbeya na kuridhishwa na utoaji wa mikopo kwa makundi ya Wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.

Hayo yalisemwa Leo tarehe 14 Machi, 2022  na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Abdallah Chaurembo wakati wa ziara ya kamati hiyo katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya  kuangalia miradi inayotekelezwa na Serikali hasa katika suala zima la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kutoka katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya.

"Kamati imerishishwa na utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri  ya Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, mikopo ambayo ina tija na kusaidia vikundi hivyo kujikwamua kiuchumi" amesema Mhe. Chaurembo

Mhe. Chaurembo ameipongeza Serikali kwa kuhakikisha wanatoa mikopo  kwa  vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ambayo imesaidia katika kuongeza  pato la mtu binafsi na taifa kwa  ujumla.

Mhe. Chaurembo amezitaka Halmashauri  zote nchini kuhakikisha wanatoa mikopo yenye tija kwa vikundi hivyo ili viweze kujikwamua kiuchumi.

Naye  Waziri wa  Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa  amesema Serikali inayoongozea na Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  itaendelea kuhakikisha  fedha zinatengwa kwa ajili ya kuleta chachu ya uzalishaji na shughuli za maendeleo kwa wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu  nchini

Aidha, Waziri Bashungwa amewagiza Maafisa Maendeleo ya jamii katika Halmashauri zote kuhakikisha wanatoa elimu ya usimamizi wa fedha kwa vikundi vyote vilivyonufaika na vinavyoendelea kunufaika na mikopo ya aslimia 10.

Awali, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Juma Homera amesema  katika  kipindi cha 2018/19 hadi  February 2022 Halmashauri za Mkoa  wa Mbeya  zimeweza kutoa mikopo yenye thamani ya  shilingi  bilioni 7.7  kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wwnye ulemavu 950 ambapo wanawake  ni 583,vijana 329 na watu wenye ulemavu 38

Aidha. Kamati ya  ya kudumu ya Bunge ya utawala na Serikali za Mitaa inaendelea na ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Mkoa wa  Mbeya.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.