Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

IDADI YA WATOTO KATIKA VITUO VYA UTAYARI YAZIDI KUONGEZEKA

Imewekwa tar.: November 5th, 2022

OR - TAMISEMI

Idadi ya watoto waliokosa fursa ya kusoma elimu ya awali katika Mkoa wa Rukwa, Simiyu na Pwani imezidi  kuongezeka katika Vituo vya Utayari  wa kumuondaa mtoto kwenda shule sababu kubwa ikitajwa kuwa ni muitikio mkubwa wa jamii kuhusiana na mpango huo.

Hadi kufikia Novemba, 04 , 2022 Mkoa wa Pwani una zaidi ya watoto 1200 ,Mkoa wa Simiyu una  watoto  zaidi ya 1600 huku Mkoa wa Rukwa ukiongoza kwa kuwa na zaidi ya watoto  2000 katika Vituo vya Utayari.

Hayo yamebainishwa  na washiriki wa Mafunzo ya  SRP kutoka katika Mikoa ya Pwani, Rukwa na Simiyu yaliyomalizika  Novemba,4 2022  Jijini Dodoma.

Akizitaja sababu za ongezeko hilo Afisa Elimu Taaluma wa Halmashauri ya Wilaya ya  Itilima, John Mpamwa  amesema  ongezeko hili limesababishwa  na muitikio mkubwa  wa wazazi kwa kuchukua hatua na  kuwapeleka watoto katika Vituo vya Utayari ili waweze kuandaliwa kwaajili ya kuanza darasa la kwanza hapo mwakani.

Kwa upande wake  Mratibu wa Shule bora kutoka Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bw.  Winfrid Chilumba amesema ongezeko hilo ni moja ya mafanikio ya  awali ya Mpango wa Utayari.

Ameeleza kuwa sio tu idadi ya watoto imeongezeka lakini  pia  watoto wenye umri zaidi ya miaka sita waliokosa fursa ya kusoma elimu ya awali  wamejitokeza kwa wingi  katika Vituo ukizingatia mpango huu ulilenga hasa watoto wenye miaka minne hadi sita.

Naye  Mtaalam Kiongozi anayesimamia eneo la ujifunzaji na ufundishaji  kutoka katika Mradi wa  Shule Bora  Vicent Katabarwa amesema Mikoa hiyo mitatu   imetumika kama Mikoa ya majaribio , lengo likiwa baada yakuona  mafanikio katika mikoa hiyo mpango wa utayari  utatekelezwa katika Mikoa Mingine ambayo Shule Bora inahudumia.

Amesema  tathmini ya utekelezaji wake  itafanyika katika  ngazi tatu, moja Halmashauri husika  itafanya  ufatiliaji kuona jinsi watoto wanavyojifunza,pili  viongozi wa Kitaifa watatembelea Vituo  vya Utayari na kufanya tathmini, na tatu ni idadi ya wanafunzi watakaoanza darasa la kwanza mwaka 2023 ambao wamepitia katika Mpango wa Utayari.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.