Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Dkt. Mpango aagiza kuongezwa watumishi kukabiliana na upungufu Wilayani Uyui 

Imewekwa tar.: October 9th, 2024

Na Fred Kibano, Tabora

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isidor Mpango ameiagiza Ofisi ya Rais TAMISEMI kuongeza idadi ya watumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mkoni Tabora ili kukabiliana na upungufu uliopo.

Dkt. Mpango alitoa kauli hiyo ya Serikali tarehe 9 Oktoba, 2024 wakati akiongea na wananchi kwenye uwanja wa Chipukizi uliopo Manispaa ya Tabora wakati wa ziara yake anayoendelea nayo mkoani humo kwa kuiagiza Ofisi ya Rais TAMISEMI kuongeza idadi ya watumishi hususani walimu pamoja na nyumba zao za kuishi.

“nimetoa maelekezo kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI, katika mgao ujao wa watumishi watoe upendeleo kwa Wilaya ya Uyui lakini watazame mkoa wa Tabora kwa jicho la pekee, sambamba na hilo, nimewataka waone namna ya kuongeza nyumba za watumishi wa mkoa wetu” alisema Dkt. Mpango.

Aidha, Dkt. Mpango amewasihi wazazi mkoani Tabora kuwapeleka Watoto wao shule lakini kuhakikisha wanakagua maudhui wanayofundishwa kwani kuna baadhi ya shule hususani binafsi zinafundisha mambo yasiyofaa kama ushoga lakini pia kuzuia mimba za utotoni ambapo ameisihi jamii kuacha watoto wasome waweze kufikia ndoto zao.

Katika hatua nyingine, Dkt. Mpango amewataka wazazi na jamii mkoani Tabora kuwapa watoto wao lishe bora ili kupunguza udumavu uliokithiri kwani kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2022 kiwango cha udumavu ni asilimia 33.1 huku watoto waliozaliwa wakiwa na uzito pungufu ukiwa ni asilimia 12.2 hali inayotokana na akina mama wajawazito kutokupata lishe bora.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mheshimiwa Paul Matiko Chacha alimshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia zaidi ya shilingi Trilioni moja ambazo zimepelekwa kufanya kazi za maendeleo mkoani Tabora lakini pia alisema hali ya ulinzi na usalama imeimarika na wahalifu mbalimbali wamekamatwa yakiwemo magenge ya utekaji, majambazi na watu wanaoua vikongwe.

Katika uwanja wa Chipukizi maadhimisho ya juma la Elimu ya Watu Wazima ambayo yameandaliwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikihusisha baadhi ya Taasisi za Wizara hizo yanayofanyika Kitaifa mkoani Tabora yaliyoanza tarehe 7 Oktoba, 2024 na yatafikia kilele tarehe 11 Oktoba, 2024. Kauli Mbiu ya mwaka huu 2024 ni “Ujumuishi katika Elimu bila ukomo kwa ujuzi, ustahimilivu, amani na maendeleo”

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.