Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Asilimia 47 ya Watoto wapo kwenye ukuaji timilifu - Mpanju

Imewekwa tar.: March 18th, 2024

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Amon Mpanju kwa niaba ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI (AFYA) Dkt.Charles Mahera amesema matokeo yameonesha kuwa ni asilimia 47 tu ya watoto wenye umri wa miezi 24 – 59 wapo kwenye mwelekeo sahihi wa kufikia ukuaji timilifu kiafya, katika kujifunza na ustawi wa kisaikolojia na kijamii.

Kati ya hao asilimia ya watoto walio katika mwelekeo sahihi wa kufikia ukuaji timilifu inapungua kadri umri unavyoongezeka kutoka asilimia 36 kwa watoto wa miezi 24 -35 mpaka asilimia 58 kwa watoto wenye umri wa miezi 48 -59.

Mhe. Mpanju ameyasema hayo wakati akifungua kikao kazi cha uwasilishaji wa viashiria vya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto kwa mwaka 2030 kwa wataalam ngazi ya Mikoa kilichowajumuisha wataalamu kutoka Wizara za Kisekta, Makatibu Tawala wasaidizi Elimu na Afya,  Maafisa Ustawi wa Jamii, Lishe na Maendeleo ya Jamii pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto (UNICEF)  kilichofanyika Machi 18, 2024 Jijini Dodoma katika ukumbi wa Lavenda.

“Matokeo ya utafiti huu yatajenga hamasa kwenye Mikoa yenu kutenga bajeti ya masuala ya Malezi Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ili kuhakikisha kuwa watoto wote wanapata huduma stahiki wakue  na kufikia utimilifu wao” alisema Mhe.Mpanju

Pia Mhe. Mpanju amesema mnapaswa kufanya kazi kwa ushikiano mkizingatia taaluma zenu ili kila mmoja kwa nafasi yake aweze kupimwa kulingana na taaluma na nafasi yake katika kutekeleza masuala ya malezi, makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.

Aidha Mhe. Mpanju amekumbusha kuwa taarifa za utekelezaji wa programu ziwasilishwe kwa wakati Ofisi ya Rais- TAMISEMI ili ziweze kuwafikia viongozi kwenye Wizara za Kisekta na wadau mbalimbali kwa hatua zaidi za utekelezaji. 

Pia amewataka kuhakikisha programu hii inaeleweka na kutekelezwa katika ngazi zote ikiwemo Mkoa, Halmashauri na ngazi ya  Jamii .

"bajeti itengwe ili kuchochea utekelezaji wa programu hii kwenye ngazi ya Mikoa na Halmashauri zetu" amesisitiza Mpanju.

Pia amewataka Kushirikiana na Wadau wa Malezi waliopo katika Mikoa yao katika utekelezaji wa huduma za  Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.