Maadili Yetu
1.Uadilifu Tunatoa huduma kwa kuzingatia misingi ya utawala bora, mipaka ya madaraka na kutumia vizuri rasilimali zilizopo kwa manufaa ya umma.
2.Uwajibikaji Tunabeba dhamana na kuwa tayari kuwajibika kwa utekelezaji wa shughuli za taasisi katika utoaji wa huduma zetu na kutoa maelezo kwa Umma pale inapobidi.
3.Kufanya kazi kwa pamoja Tunaamini katika kushirikiana ili kufikia lengo na kutoa huduma bora kwa muda muafaka.
4.Kutoa huduma bila upendeleo Huduma zote zitatolewa kwa haki na usawa bila kujali rangi, kabila, dini, jinsi wala itikadi za kisiasa.
5.Weledi: Tunatoa Huduma kwa kuzingatia taaluma, ubunifu na kujituma katika kutekeleza majukumu ya kila siku.
Matangazo Muhimu
Soma matangazo na taarifa rasmi ili kuendelea kufahamu shughuli zinazotekelezwa na Wizara.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WAOMBAJI WA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA WA MAAFISA LISHE
CHAGUO LA PILI KIDATO CHA TANO
ORODHA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO WALIOPANGWA AWAMU YA PILI MWAKA, 2025
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. (ORAL INTERVIEW)
Tangazo la kuitwa kazini ajira za TMCHIP 2025
Habari na Matukio
Soma matangazo na taarifa rasmi ili kuendelea kufahamu shughuli zinazotekelezwa na Wizara.




