• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Zingatieni haya kwenye Hospitali Mpya 28 - Dkt. Ntuli

Imewekwa tar.: July 6th, 2020

Na. Atley Kuni-OR-TAMISEMI

Mkurugenzi wa Afya na Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais TAMISEMI, Daktari Ntuli Kapologwe, akiwa na jopo la wataalamu kutoka Ofisi hiyo, wamelazimika kutoa maelekezo muhimu yakuzingatia katika Hospitali mpya 28 za Halmashauri zinazoendelea kujengwa hivi sasa baada ya Halmashauri husika kupatiwa fedha na serikali kiasi cha milioni 500 za kuanzia.

Akifanya majumuisho hayo Dkt. Ntuli, amesema kwanza wamefurahishwa na utayari wa wanachi katika maeneo yao kwakujitolea kushiriki ujenzi huo unaoendeshwa kwa mtindo wa force account, kwani umeonesha mafaniko makubwa kote nchini, lakini akatahadharisha Kamati za Afya za Mikoa na Halmashauri, kuhakikisha zinaendelea kuwa bega kwa bega na timu za ujenzi shabaha ikiwa ni kuondokana na hatari yakukosewa kosewa kwa majengo hayo na hivyo kufanya kazi mara mbili lakini pia kuongeza gharama za ujenzi.  

Katika ziara hiyo iliyochukua muda wa siku 14, Dkt. Ntuli, amezitaka Kamati hizo kuhakikisha majengo yanazingatia ramani zilizopo lakini pale inapo lazimu kushauri, basi wasisite kufanya hivyo kwani kwa kufanya hivyo itasaidia kutambua kasoro mapema.

Dkt. Kapologwe ameyataja maeneo ya kuta za Chumba cha Mionzi (X-Ray) kuwa zinatakiwa ziwe na unene usiopungua 300mm na Dirisha lake la kuingizia mwanga, liwe angalau Mita 2 kutoka kwenye floor Sehemu ya kuchukulia mionzi huku akitoa tahadhari kwa jengo hilo kuwekewa Aluminum au Grill na badala yake wazingatie kuwa eneo hilo litawekewa lead glass.

Amesema chumba hicho, kinatakiwa kuwa na mlango maalum ambao huwa unawekwa ili kuwazuia watoa huduma pamoja na wateja kutodhurika na mionzi itokanayo na mionzi isiyo dhibitiwa na kusema kwamba, wasitumie milango inayotumika katika nyumba zakuishi na badala yake watumie milango maalum na  

Dkt. Ntuli amesema sehemu za kufanyia kazi Works shop za Maabara zinatakiwa kuwa na Marbles na sio marumaru (tiles), aidha Marbles zilizopendekezwa ni vema zikawa na rangi nyeupe.

“Kwa upande wa Floor za Operating Theatre zinatakiwa kuwa na Epoxy mpaka eneo la sluice na sio marumaru za kawaida, huku akisema, madirisha ya Chumba cha upasuaji yanatakiwa kuwa na Grill Kwa nje na ndani, amesema Dkt. Ntuli, na kuzidi kusisitiza eneo la ndani kuwe na madirisha ya aluminium yasiyofunguka (fixed panels) na vioo viwe ni frosted glass, yaani visivyomuwezesha mtu wa nje kuona ndani.” Amesema, Mkurugenzi Ntuli.

Dkt. Ntuli, amesema pia mawasiliano kati ya Chumba cha kutakasia vifaa na Chumba cha Sluice liwekwe Dirisha na sio Mlango sambamba na tundu la nchi tatu ili kuweza kupitishia bomba la kutolea gas, pindi anapotakasa vyombo, amesisitiza mpangalio wa majengo vizuri ili kuwa na ufanisi wakati wa utoaji huduma, akitolea mfano, Jengo la Wagonjwa wa Nje (OPD)  linatakiwa kuwa uelekeo wa kuangalia Bara bara kuu na nyuma yake likifuatiwa na Jengo la Maabara.

Katika Majumuisho hayo Dkt. Ntuli amesema, Vituo vya kutolea huduma vinavyojengwa au karabatiwa vinatakiwa kuwa na tenki la kuhifadhia maji lenye uwezo wa ujazo usiopungua lita elfu 50, huku akipendekeza majengo yote yaunganishwe na Walk Way ili kurahisishia kazi kumtoa huduma  kutoka eneo moja kwenda eneo jingine.

Akiwa anahitimisha majumuisho hayo Dkt. Ntuli amesema, paa la Jengo la stoo ya dawa, linatakiwa kuwa na Materials maalumu ya kuzuia jotokali katika eneo husika, na kwa upande wa vyoo vya Walemavu, pamoja na maeneo yakupitia amesema kwamba, nilazima yawe na Supports pembeni kwa ajili ya kumsaidia mlemavu aendapo haja, vilevile akitaka, majengo yote sehemu ya kuingilia yawe na ramp kwa ajili ya Walemavu.

Mwisho Dkt. Ntuli, amesema katika chumba cha upasuaji milango yote inayoingia au kutoka wahakikishe   ni ya solid core flush doors, yenye spring hinges zinazofunguka pande zote, isiwe na vitasa bali push plates zilizofungwa pande zote za mlango.

Hivi sasa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, inaendelea na zoezi la ufatiliaji wa Hospitali 28 za Halmashauri ambazo zimewekwa katika mpango wa awamu ya pili ukitanguliwa na Hospitali 67 za awamu ya kwanza ambapo  tayari Hospitali 45 zimeanza kutoa huduma kwa wananchi hadi kufikia Mwezi Julai, 2020.


Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • MEWAKA KUONGEZA UJUZI WA WALIMU WETU NCHINI

    May 13, 2022
  • Halmashauri 144 zanufaika na MEWAKA

    May 13, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.