Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Waziri Ummy aahidi usimamizi wa afua za lishe katika Mamlaka za Serikali za Mitaa

Imewekwa tar.: November 18th, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu  amesema  Ofisi ya Rais –TAMISEMI itasimamia kikamilifu  utekelezaji wa afua za Lishe kwenye Sekretarieti za Mikoa na Malaka za Serikali za Mitaa.

Akiongea leo katika Mkutano  Mkuu wa saba wa Wadau wa masuala ya lishe  nchini uliofanyika Jijini Tanga  Waziri Ummy amesema   Ofisi ya Rais - TAMISEMI inaahidi  kusimamia utekelezaji wa mpango  wa afua za lishe kwa kutenga  kiasi cha shilingi 1000 kwa kila mtoto chini ya miaka mitano, lengo ni kupunguza udumavu wa ukuaji wa watoto katika jamii  kwa kuimarisha lishe bora  nchini.

Waziri Ummy anaendelea kufafanua  kuwa fedha hizo zitatengwa katika fungu la maendeleo  kwa kuwa katika mkakati wa kuimarisha lishe nchni  ofisi ya Rais - TAMISEMI inatakiwa  kuchangia  asilimia 10.5  sawa na kuchangia kiasi cha shilingi bilioni 67.2 kwa miaka mitano, hivyo suala hilo litatekelezwa kikamilifu.

Amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI itasimamia fedha zilizopangwa kwa ajili ya shughuli za lishe kwenye Halmashauri zote 184  nchini  na kutoa taarifa za mapato na matumizi ya Halmashauri kwa mwaka ikiwemo asilimia kumi  kwa ajili ya mikopo ya kina mama, vijana na watu wenye ulemavu.

Amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI  itahakikisha fedha ambazo zimetengwa kwenda kutatua afua za lishei zinatumika kama zilivyoelekezwa na kuhakikisha inazibana  Halmashauri ambazo hazijatoa fedha hizo kwa wakati.

Amesema itaendelea  kusimamia  utendaji wa afua za lishe katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kufanya tathmini  ya mikataba ya lishe iliosainiwa na Wakuu wa Mikoa kote nchini  kuanzia ngazi ya Kitaifa, Mikoa, Vijiji, Kata na vitongoji na kuhakikisha na kuimarisha uwajibikaji kwa viongozi na watendaji wa  ngazi zote.

Waziri Ummy amesema Ofisi ya Rais - TAMISEMI itasimamia utoaji wa taarifa  zenye ubora na wakati kuhusu afua za lishe kwa wakati kupitia mfumo wa utoaji wa taarifa wa  intergreted  monitoring and  evaluation system unaosimamiwa na Ofisi ya  Rais - TAMISEMI kwa kipindi cha  robo mwaka na taarifa hizo zitatumwa kwenye mfumo wa National multsectrol  Management Information system unaosimamiwa na taasisi ya chakula na lishe  kwa ajili ya kupata taarifa kitaifa.

Aidha, amesema kuwa Serikali haitasita kuwachukulia hatua  kali za kinidhamu  viongozi au maafisa  waliochini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa uzembe wa utekelezaji  na matumizi mabaya ya fedha za lishe zitakazobainishwa.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.