Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WAZIRI MKUU AZINDUA VITABU VYA KIMKAKATI ELIMU MSINGI NA SEKONDARI

Imewekwa tar.: August 4th, 2022


OR-TAMISEMI


Pamoja na Ufunguzi wa Mashindano ya UMITASHUMNTA na UMISSETA, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amezindua  vitabu vitatu  vya  kimkakati vya kutoa  miongozo  na mikakati ya kuboresha  Elimu Msingi na Sekondari nchini  pamoja na kuimarisha uongozi  katika Ngazi za Shule, Kata, Halmashauri  pamoja na Mikoa.


Vitabu hivyo vimezinduliwa rasmi katika Ufunguzi wa mashindano ya michezo katika  Shule za Msingi (UMITASHUMNTA) pamoja mashindano ya michezo katika shule za  Sekondari (UMISSETA) tarehe 04 Agosti 2022 Mkoani Tabora.


Akisoma taarifa yake Naibu Waziri Nchi,  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde amesema kuwa Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliunda kikosi kazi kilichobainisha changamoto zote za uendeshaji wa   Elimu ya Msingi na Sekondari  pamoja na kutoa  muongozo wa nini kifanyike ili kuboresha elimu nchini.


“Kipitia  uchambuzi huo uliofanywa na kikosi kazi hiko Ofisi ya  Rais-TAMISEMI  imeandaa vitabu vitatu  vitakaotoa miongozo  na mikakati ya kuboresha  Elimu Msingi na Sekondari nchini  pamoja na kuimarisha uongozi  katika ngazi za Shule, Kata  , Halmashauri na Mikoa  nchini” Mhe. Silinde


Akivitaja vitabu hivyo Mhe. Silinde amesema kitabu cha kwanza kinaitwa   muongozo wa uteuzi wa viongozi  wa elimu katika Mamlaka  za Serikali za Mitaa  na Mikoa ,

amebainisha kuwa  kitabu  hicho  kimeanisha taratibu  zinazopaswa kuzingatiwa  katika kuteua viongozi  wa elimu ndani ya  Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mikoa ili   kuwawezesha  waliopewa dhamana ya uteuzi  kurejea taratibu za kufuata wakati wa uteuzi wa viongozi  wa elimu.


“Kitabu cha pili kinaitwa Changamoto  katika uboreshaji wa Elimu Msingi  na Sekondari na nini kifanyike,  kitabu hiki kimebainisha changamoto kuu za utekelezaji wa  maboresho ya ufundishaji  na ujifunzaji pamoja na  hatua  vinavopaswa kuchukuliwa na viongozi wa elimu   kutoka ngazi zote  kuanzia ngazi ya shule hadi Taifa” Mhe. Silinde


Cha tatu ni   kitabu cha kuimarisha ufundishaji  na ujifunzaji katika   ngazi ya  elimu msingi,  amesema kuwa   kitabu hiki kimelenga kuwawezesha wataalam na walimu kubaini changamoto za kina za ufundishaji na ujifunzaji  zilizopo,   athari za changamoto hizo,  fursa zilizopo pamoja  na kutumia mikakati ya utatuzi wa  changamoto hizo.


“Vitabu hivi vya kimkakati  vimelenga kila msimamizi wa elimu Msingi  na Sekondari  kuhakikisha  anazidisha ubunifu  na uweledi katika ufundishaji mwenye kuleta tija  inayotarajiwa  kwa mwanafunzi mmoja mmoja  kwa kutumia mbinu mbalimbali  zikiwemo michezo  na Sanaa za Maonesho” Mhe. Silinde


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2024 December 16, 2024
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni laki mbili na elfu 60 kwa miaka sita

    May 15, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya

    May 14, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.