• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Wataalam wa Maabara na Wafamasia waaswa kusimamia vifaa tiba

Imewekwa tar.: June 29th, 2022

Na Fred Kibano

Serikali imewataka Waratibu wa Maabara na Wafamasia ngazi ya Mikoa kusimamia vifaa tiba ili kuwezesha utoaji wa huduma bora za afya kwa wananchi.

Akifungua kikao kazi cha Waratibu wa Maabara na Wafamasia wa Mikoa kwa niaba ya Naibu Katibu Mkuu (AFYA) Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Grace Maghembe katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Conventional Centre Jijini Dodoma, Dkt. Paul Chamote amesema kuwa Serikali imewekeza fedha nyingi kwa ajili ya kutoa huduma za afya nchini na hivyo wataalam hao hawana budi kuvitunza.

“nitumie fursa hii kuwaelekeza kusimamia vifaa hivyo ipasavyo na kuhakikisha kuwa vinatoa huduma iliyokusudiwa, nia ya Serikali ni kuhakikisha kuwa mwananchi anapata huduma ya afya iliyo bora na karibu ya maeneo wanayoishi”

Amesema katika mwaka wa fedha 2021/2022 Serikali imeidhinisha jumla ya shilingi bilioni 11.3 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa tiba kwa hospitali 331 za awamu ya pili zilizoanza kujengwa katika mwaka 2018/2019 ambapo mwaka 2021 Ofisi ya Rais TAMISEMI ilipeleka kiasi cha shilingi bilioni 98 kwa Wakala wa Dawa (MSD) kwa ajili ya ununuzi na usambazaji wa vifaa vya CEmONC katika vituo vilivyoboreshwa.

Aidha, amewataka Wataalam hao kutunza zana za usimamizi na ufuatiliaji wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi bilioni 94.4 ambavyo vitatoa huduma kwenye majengo ya dharura (EMD) na wagonjwa mahututi (ICU) yaliyojengwa hivi karibuni ikiwa ni pamoja na kuhakikisha ukaguzi wa bidhaa za afya unafanyika kila robo ya mwaka na kutumwa Ofisi ya Rais TAMISEMI ikionesha hatua zilizochukuliwa kwa yote yaliyobainishwa”

Kwa upande wake Elizabeth Shekalaghe Msajili wa Maduka ya Dawa (Pharmacy) nchini amewataka Waratibu hao wa Mikoa kuitumia taaluma yao ya maabara ipasavyo kwa kuwa ndio wanaotegemea kutoa ushauri thabiti kwenye eneo la taaluma hiyo lakini pia kuendelea kusimamia maduka ya dawa na maabara kwa weledi wa taaluma yao.  

Naye Julius Mwasimba Msimamizi wa Huduma za Maabara Mkoa wa Lindi amesema kikao kazi hicho kitawasaidia wataalam kujadili changamoto ili kupata matokeo chanya kwenye kazi yao na pia ameipongeza Serikali kwa kuendelea kuwapatia huduma stahiki za afya.

Serikali katika mwaka wa fedha 2021/2022 iliajiri watumishi wapatao 7,612 wa kada ya afya ikiwa ni pamoja na watumishi wa radiolojia ambao watasaidia utoaji wa huduma bora za afya.


Matangazo

  • Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023 June 05, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.