• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Wasimamizi wa Uchaguzi Ngazi ya Wilaya Waapishwa

Imewekwa tar.: September 12th, 2019

Serikali imewataka Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 kusoma kwa makini na kusimamia sheria, Miongozo na Kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili kuondoa kasoro zinazoweza kujitokeza wakati wa uchaguzi.

Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Arusha na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga wakati akishuhudia kuapishwa kwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Halmashauri 6 za mkoa wa Arusha wanaotarajiwa kutoa tangazo la uchaguzi na kutaja maeneo ya utawala hapo kesho.

Mhandisi Nyamhanga amesema kuna haja kubwa ya kujua Kanuni za uchaguzi na Miongozo yake ili kuufanya uchaguzi kutokuwa na kasoro kwa kuzingatia sheria za uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Mhandisi Nyamhanga amesema Waziri Mwenye dhamana na Serikali za Mitaa alifanya uteuzi wa Wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ngazi ya Wilaya wapatao 184 ambao wote wameapishwa leo nchini kote ili kuendelea na majukumu yote ya uchaguzi utakaofanyika Novemba 24, 2019.

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Richard Kwitega amesema maandalizi yote ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Arusha yapo tayari na kwamba wateule wote wa uchaguzi walioapishwa leo wanatakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu zote na kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za mwaka 2019.

Amesema katika Halmashauri saba za mkoa wa Arusha jumla ya Miji midogo 6, Kata 158, Mitaa 154, Vijiji 390 na Vitongoji 1,505 ambavyo kwa pamoja wakazi wake watapiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika ngazi mbalimbali kama  sehemu ya maboresho ya demokrasia nchini.

Naye Theresia Kyara ambaye Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli amesema anaishukuru Serikali kwa kumteua kuwa msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kwamba ataifanya kazi hiyo kwa kuzingatia Kanuni, Sheria na Miongozo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ngazi ya Wilaya mkoa wa Arusha walioapishwa leo ni Msena Bina wa Arusha Jiji, Pius Haule wa Halmashuri ya Wilaya ya Karatu, Hossein Mgewa wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Natang’aduaki Molleli wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido, Jonathan Kiama wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Theresia Kyara wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli na Emmanuel Mhando wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro.

        Anaandika Fred Kibano

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.