Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Wanafunzi Waaswa Kushiriki Shindano la Insha Taifa

Imewekwa tar.: June 1st, 2020

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Gerald Mweli amefungua rasmi shindano la insha Taifa kwa kidato cha kwanza hadi cha nne  Jijini dodoma.

Akifungua shindano hilo la kitaifa kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo, Mweli amewataka wazazi na walezi kusaidia ushiriki wa watoto wao ili kujiongezea stadi za kufikiri, kuandika, kujieleza na kufanya tafiti zitakazowasaidia katika masomo, kuwafanya wasomi mahiri na pia katika maisha yao.

“wote tunafaahamu kwamba insha imekuwa na mchango mkubwa katika kusaidia watoto hasa katika kuinua uwezo wao wa kufikiri, uwezo wa kuandika,uwezo wa kufanya tafiti na uwezo wa kujieleza kwa lugha za kiswahili na kiingereza. Nitoe wito kwa wanafunzi wote kutembelea kwenye tovuti ya www.mybook.co.tz  ili kujisajili, kuchagua mada na kufuata  vigezo vilivyoainishwa “

Aidha, amesema shindano hilo litaanza leo Juni Mosi, 2020 hadi tarehe 30 Juni, 2020 na kwamba kila mshiriki atatakiwa kufuata vigezo vilivyoanishwa kwenye tovuti iliyoelekezwa ambapo siku ya mwisho baada ya kukamilisha zoezi zitatolewa zawadi kwa washindi ikiwa ni pamoja na vyeti vya kutambua ushiriki wao.

Amesema Walimu mahiri watahusishwa katika kusahihisha insha zote kwa wanafunzi wa shule za sekondari kwa kidato cha kwanza mpaka cha nne kwa mwaka 2020 na kuzitolea matokeo kwa washindi wa kwanza hadi wa kumi.

Naye Athumani Mohammed Meneja wa Mahudhui toka Drem Tree Co. Ltd amesema zawadi zitakazotolewa kwa washindi wa kwanza mpaka wa kumi ni pamoja na Mshindi wa kwanza mpaka wa tano watapata kompyuta mpakato kwa kila mmoja na fedha taslimu shilingi 500,000 kwa mshindi wa kwanza, 400,000 mshindi wa pili, 300,000 mshindi wa tatu, 200,000 mshindi wa nne na shilingi 100,000 kwa mshindi wa tano.

Kwa washindi wa sita hadi wa kumi watapata shilingi 100,000 kila mmoja  pamoja na vyeti kwa wanafunzi wote waliofanya vizuri vitakavyotolewa na Ofisi ya Rais TAMISEMI mbali na zawadi hizo kutakuwa na mpango maalum wa kuwafundisha washindi hao matumizi bora ya mtandao  zoezi litakaloendeshwa na Asasi ya Dream Tree. Pia kutakuwa na sherehe maalum ya kuwatambua na kuwakabidhi  zawadi washindi wote.

Shindano la insha linaratibiwa kwa pamoja kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na  Asasi ya Dream Tree kwa lengo la kuwajenga vijana kuwa wasomi bora na uwezo wa kutumia lugha zote mbili za Kiswahili na kiingereza ambapo linaanza tarehe Mosi June na kukamilka Juni 30, 2020.

Na. Fred Kibano OR TAMISEMI

Matangazo

  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • MAPEPELE AWANOA MAAFISA HABARI WA TAMISEMI, AWATAKA WAWE WAZALENDO 

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.