Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WANAFUNZI 1,092,984 WALIOFAULU DARASA LA 7 WACHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2024: WAZIRI MCHENGERWA

Imewekwa tar.: December 17th, 2023

OR - TAMISEMI

*Abainisha kuwa wanafunzi wote waliofaulu wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa Awamu Moja*

*Asema Bilioni 160 zimetolewa na serikali kujenga miundombinu ya Elimu 2022, Bilioni 140 zimetolewa 2023 Kukamilisha*

*Asema Bilioni 800 zimetolewa na Serikali kwa ajili ya kutoa Elimu bila Malipo nchini*

*Awataka MaRC na MaDC Kusimamia wanafunzi kuanza Masomo Januari 8, 2024 bila kuchelewa*

Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema Jumla ya wanafunzi 1,092,984 waliofaulu Mitihani ya Darasa la Saba wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza katika Shule mbalimbali za Sekondari nchini 2024 ikiwa ni ongezeko la wanafunzi zaidi ya Elfu 16 sawa na 1.57% ukilingamisha na Mwaka 2023.

Waziri Mchengerwa amebainisha hayo mapema leo tarehe 17 Disemba, 2023 wakati wa Mkutano wake na wataalamu wa Sekta ya Elimu pamoja na waandishi wa habari uliofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza huku akibainisha kuwa ni 507,933 ni Wasichana  na 585,051 wavulana.

Amebainisha kuwa kuwa uchaguzi wa wanafunzi umezingatia mambo mbalimbali kwa vigezo vya Ufaulu kulingana na kundi la shule huku akibainisha kuwa wanafunzi 5,606 wamepangiwa kwenye shule bora zaidi za bweni zipatazo 48 hapa nchini na kwamba 3,587 ni wenye Mahitaji Maalumu.

Ameongeza kuwa kutokana na uwepo wa Miundombinu bora na ya kutosha kwenye shule za sekondari nchini, wanafunzi wote waliogaulilu wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa Awamu Moja na kwamba wanafunzi wanaanza Masomo kwa Muhula unaoanza Januari 8, 2024 bila kuchelewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Wasimamie hilo na kwamba taarifa zote za wanafunzi na fomu za kujiunga zinapatikana www.tamisemi.go.tz na www.necta.go.tz


"Kwa kutumia mifumo ya TEHAMA tumetekeleza kazi ya uchaguzi wa watoto hawa kwenda kwenye shule zetu kwa Uadilifu, Uaminifu na Uangalifu mkubwa sana tena kwa kuangalia Mgawanyo linganifu Kimikoa hususani kwa wale waliofaulu kwa juu zaidi na kupangiwa kwenda kwenye shule zetu pendwa" Dkt. Carles Msonde, Naibu K/M TAMISEMI anayeshughulikia Elimu.

Awali Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. CPA Amos Makalla alibainisha kuwa kwa kutekeleza kwa vitendo adhma ya Mhe. Rais ya kuwatumikia wananchi mkoa huo utatekeleza maagizo yote aliyoyatoa akiwa ndani ya ziara yake Mkoani humo hususani Wilayani Sengerema.

Amebainisha kuwa Viongozi wote Mkoani humo wapo imara kushirikiana katika kusimamia miradi ya maendeleo inayogharimu zaidi ya Bilioni 18 na kwamba itakamilika kwa wakati kadiri ilivyokusudiwa pamoja na ujenzi wa jengo la Abiria kwenye ujenzi wa Jengo la Kisasa la Uwanja wa Ndege wa Mwanza kuwa wa Kimataifa.

Matangazo

  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • MAPEPELE AWANOA MAAFISA HABARI WA TAMISEMI, AWATAKA WAWE WAZALENDO 

    May 26, 2025
  • MAHUSIANO MAZURI  NI NGUZO MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU-MHE.SAGINI

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.