• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Wanafunzi 10 wa riadha kutoka UMITASHUMTA kwenda Serbia mwezi septemba

Imewekwa tar.: June 18th, 2021

Na Mathew Kwembe, Mtwara

Wanafunzi 10 wa kitanzania wenye umri wa chini ya miaka 15 ambao walishiriki mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) wamechaguliwa kujiandaa kushiriki mashindano ya kimataifa ya riadha ambayo yamepangwa kufanyika mjini Belgrade nchini Serbia.

Akizungumza wakati wa kuhitimisha mashindano ya UMITASHUMTA leo mjini Mtwara, Mratibu wa mashindano hayo, Leonard Thadeo amesema wanafunzi waliochaguliwa kesho wataanza rasmi kambi ya mazoezi hapa Mtwara kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya kimataifa ya riadha ya shule ambayo yamepangwa kufanyika mwezi septemba mwaka huu.

Amesema kwa kipindi chote cha mashindano ya UMISSETA wanafunzi hao 10 watakuwa kambini wakifanya mazoezi na baada ya hapo watarudi katika shule zao kuendelea na masomo.

Mratibu huyo ameongeza kuwa wanatarajia kuweka kambi nyingine ya maandalizi jijini Dar es salaam kabla ya safari ya Belgrade kwa ajili ya kukimbia kwenye tatan, wazoee tatan na kukimbilia viatu ili baadaye waweze kwenda kushiriki katika mashindano ambayo yataanza tarehe 11 hadi 19 septemba, 2021 huko Serbia.

Mashindano haya ya kimataifa ya riadha  mwanzoni yalipangwa kufanyika nchini Slovenia kabla ya kuhamishiwa mjini Belgrade nchini Serbia.

Akizungumzia tathmini yake kwa mashindano ya UMITASHUMTA ya mwaka huu yaliyohitimishwa leo mjini Mtwara, Mratibu Thadeo amesema mashindano hayo yamefanyika kwa mafanikio makubwa kwani mbali na kutoa wanafunzi 10 bora wa riadha watakaokwenda Serbia, ushindani wa michezo mbalimbali ya mashindano hayo umeongezeka.

Mathalani mchezo wa mpira wa goli mwaka 2015 wakati ulipoanza kushindanishwa katika UMITASHUMTA timu zilizokuwa zinashiriki ni tano tu lakini sasa mikoa 23 kati ya 26 imepeleka timu kwenye mcheo huo.

Kadhalika  bingwa wa jumla wa UMITASHUMTA mwaka 2019 Tabora safari hii ameshika nafasi ya saba, na hata timu kama Geita ambayo ndiyo walikuwa mabingwa wa soka mwaka 2019 safari hii haikufanikiwa na badala yake Dar es salaam wakafanikiwa kulichukua kombe hilo.

Thadeo amesema msisimko wa michezo hii hasa kwa wanafunzi  imeongezeka sana mwaka  huu kulinganisha na miaka ya nyuma kutokana na michezo hiyo kutofanyika mwaka jana baada ya COVID 19 kutokea.

Hata hivyo Mratibu Thadeo amesema kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona hasa katika nchi  za jirani, mashindano ya shule za sekondari kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki FEASSA ambayo ilipangwa kufanyika katika mji wa Nakuru nchini Kenya haitafanyika mwaka huu.

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.