• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

WAKUU WA MIKOA WATAKIWA KUSIMAMIA UFUNGAJI HOJA ZA UKAGUZI ZA HALMASHAURI ZAO

Imewekwa tar.: November 25th, 2022

Angela Msimbira - Simiyu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mtaa Mhe. Angellah Kairuki amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanazisimamia halmashauri zote kufunga hoja za ukaguzi wa hesabu za serikali.

Ametoa maagizo hayo leo Novemba 25, 2022 alipokuwa akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Simiyu kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.

"Kuna Halmashauri wana hoja ambazo zipo kwa muda wa miaka miwili hadi mitatu kutokana labda na uzembe wa kutoambatanisha nyaraka, hakikisheni mnazisimamia halmashauri hizo ili zijibu hoja kwa wakati na kuzifuta kabisa," amesisitiza Waziri Kairuki.

Ameziagiza Halmashauri kuhakikisha hoja hazijirudi na  elimu itolewe kwa wahusika wanaojibu hoja ili kupunguza hoja zinazoletwa na CAG.

Waziri Kairuki pia amewataka kuhakikisha hoja hizo zinachambuliwa kwa kina ili kujua hoja zinazojibika na kuhitaji viambatanisho ili zifanyiwe kazi na kufutwa kabisa kwa wakati.

Vilevile, Waziri Kairuki  ameagiza  wasimamie ukusanyaji wa mapato na matumizi yake kwa kutumia mifumo ya ukusanyaji wa mapato na kuacha kutumia fedha mbichi.

Amewataka viongozi hao kuwa wanaangalia utaratibu wa kuwapata mawakala kwa kuangalia historia zao, uzoefu na ufanisi wao katika kazi ili kujirishisha kwa kuwa wanafanya kazi kwa niaba ya Halmashauri katika suala la ukusanyaji wa mapato.

“Nendeni mkazihakiki na kuzikagua POS mashine ili kujua zinazofanya kazi, zilipotea na ambazo hazifanyi kazi ili kujiridhisha na kutolea taarifa kwa zile ambazo hazifanyi kazi Ofisi ya Rais TAMISEMI,”ameelekeza Waziri Kairuki.

Amesema Halmashauri zote nchini zinapaswa kuhakikisha wamejiunganisha na  mfumo wa Tausi katika ukusanyaji wa mapato ifikapo Novemba, 2, mwaka 2022.

Amewataka kuhakikisha wanatumia mfumo wa utoaji mikopo ya asilimia 10 na kufanya ufuatiliaji wa urejeshwaji wa mikopo hiyo pia vikao vilivyowekwa kisheria vinafanyika  kwa wakati kuanzia ngazi ya  Kata hadi Mkoa.

Aidha, ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanajikita katika suala la usafi wa mazingira ili kupendezesha Miji.

Amewataka kuhakikisha stahiki za watumishi zinatolewa ili kuongeza ufanisi katika kutekeleza majukumu yao.




Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.