• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

WAKURUGENZI MKOA WA SINGIDA WAPEWA DESA LA KUONGEZA MAPATO

Imewekwa tar.: January 18th, 2023

OR-TAMISEMI

Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Singida wameshauriwa kufanya makisio sahihi ya mapato ya ndani ya Halmashauri pamoja na  kuimarisha  ushirikishwaji wa Wakuu wa idara katika ukusanyaji wa mapato ya ndani  hatua itakayopelekea ongezeko la mapato na kuondokana na utegemezi toka  Serikali Kuu.

Wito huo umetolewa na Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Menejimenti na Ukaguzi Mkoa wa Singida Bw. Evodius Katare Januari 17, 2023  katika kikao cha kufunga taarifa ya tathmini ya vyanzo vya mapato ya ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Singida  Jijini Dodoma.

Bw. Katare amesema  baadhi ya Halmashauri zinakusanya mapato madogo ukilinganisha na hali halisi ya vyanzo vya mapato vilivyopo katika Halmashauri husika na kupelekea upotevu wa  mapato ambayo yangetumika katika kuleta maendeleo.

“Inasikitisha sana kuona idara ndani ya Halmashauri zinakusanya fedha ndogo ukilinganisha na mshahara, posho, motisha,  wanazopewa; Unakuta Afisa ameajiriwa kwa kazi inayoleta mapato kwa mwaka mzima anakusanya  Mil.2 na hii sio Afya kabisa kwa Halmashauri’ amesema Katare

Idara zinazohusika na mapato lazima wawe makini na wajitoe kwa kazi hizi, lazima wafanye kwa moyo kuhakikisha kuwa hakuna upotevu wa mapato na Serikali inapata fedha za mapato inavyotakiwa na sio kuwa wavivu tu na kutokakujali ukusanyani wa fedha za Serikali.

Sambamba na hilo amewashauri Wakurugenzi hao kujifunza na kubadilishana uzoefu  kwa Halmashauri zilizofanya vizuri  mapato ya ndani,kuibua vyanzo vipya vya mapato pamoja  na kuona namna bora ya kuongeza mapato  katika Halmashauri husika.

Akizungumza  wakati wa kufunga kikao hicho Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Rais-TAMISEMI ambaye ni Mwenyekiti wa Timu ya Mkoa wa Singida Bi. Nteghenjwa Hosseah amesema kuwa Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema katika zoezi hilo wamegundua kuwa kuna baadhi ya ushuru halmashauri moja inakusanya wakati nyingine haikusanyi hivyo ni wakati sasa kama Mkoa kuona namna ambavyo halmashauri zote za mkoa huo zinakusanya vile vyanza vinavyofanana  bila kuwa na kutofautiana.

Naye  Afisa kutoka Idara ya Serikali za Mitaa Ofisi ya Rais-TAMISEMI  ambaye pia ni mjumbe wa timu ya Mkoa wa Singida Brian Samuel ametoa rai kwa Halmashauri hizo kuongeza usimamizi wa vyanzo vya mapato,kuweka mikakati thabiti ya kuhakikisha kila chanzo kinakusanya mapato kwa kiwango cha juu pamoja na halmashauri hizo zijikite katika kilimo cha mazao ya kimkakati.

Zoezi hili limetoa fursa kwa Wataalam wa Halmashauri za Mkoa wa Singida kupitia bajeti zao kwa kina, kuongeza wigo wa mapato, kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato na kuandaa bajeti yenye uhalisia.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.