Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WAGONJWA MILIONI 31.2 WAPATIWA HUDUMA NGAZI YA AFYA YA MSINGI

Imewekwa tar.: February 13th, 2024

OR - TAMISEMI

NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa, Dk Festo Dugange amesema kwa mwaka 2023, wagojwa wapatao Milioni 31.2 sawa na asilimia 74 ya wagongwa wa nje walipatiwa huduma katika ngazi za afya ya msingi huku Sh bilioni 97.9 zimekusanywa kwa mapato ya uchangiaji huduma za afya kwa mwaka 2022/23.

Dkt.  Dugange ametoa kauli hiyo leo wakati wa kufungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Waganga Wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya Msingi ambao umelenga kujadili utekelezaji, mafanikio, changamoto na fursa katika utoaji wa huduma bora za afya, ustawi wa jamii na lishe kwa wananchi.

Alisema kumekuwa na mafanikio katika eneo la Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe baada ya Serikali kufanya uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya Afya Vifaa tiba na dawa katika awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Alisema kwa mwaka 2023 jumla ya wagonjwa wa nje wapatao milioni 31.2 sawa na asilimia 74 ya wagonjwa wote wa nje walipata huduma katika ngazi za afya ya msingi huku Sh bilioni 97.9 zimekusanywa na kutumika katika kununua bidhaa za afya, huduma za rufaa, kuhudumia watumishi na kuimarisha miundombinu ya afya.

Aidha, Dkt. Dugange alisema kuanzia mwaka 2017 hadi Januari, 2024, Serikali imetumia Sh bilioni 937.2 katika ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya afya ambapo jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya 2,799 ikiwa Zahanati 1,762, Vituo vya afya 910, Hospitali za Halmashauri 127, majengo 83 ya kutolea huduma za dharura, majengo 28 kwa ajili ya wagonjwa mahututi na nyumba za watumishi 150.

Alisema katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora, Serikali imenunua na kusambaza vifaa tiba mbalimbali vyenye gharama ya Sh bilioni 364.7 zikiwemo mashine X-ray 249 na ultrasound 190 na magari 528 yenye thamani ya Sh bilioni 52, ambapo magari 316 ni ya kubebea wagonjwa na magari 212 ni ya usimamizi shirikishi.

Pia Serikali imenunua pikipiki 517 ikiwa ni hatua kubwa katika kuboresha huduma za afya, Ustawi wa Jamii na Lishe kwa wananchi.

“Tunapaswa kutambua na kumpongeza Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake binafsi na utashi wake wa dhati katika kuboresha mazingira ya utoaji huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe na kufanya huduma bora za afya zipatikane kwa wananchi wote na kutoa kipaumbele katika sekta ya afya na huduma za jamii kwa ujumla.”

“Hii ni ishara ya dhamira thabiti ya Serikali katika kuhakikisha kuwa Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe vinapewa kipaumbele cha juu. Tuendelee kumtia moyo na kumuunga mkono katika juhudi zake hizo za kizalendo, hivyo basi ni jukumu letu kuhakikisha kwamba tunaitunza na kuilinda miundombinu hii pamoja na vifaa tiba ili viweze kutoa huduma endelevu.”

Alisema pia Serikali imeweza kutoa mchango wake kwa taasisi za mashirika ya dini kupitia rasilimali fedha, watumishi na dawa ambapo kwa kupitia fedha za Mfuko wa Afya wa Pamoja kwa mwaka 2023/24 imetoa Sh bilioni 4.5 kwa hospitali 80 za mashirika ya dini zenye mikataba na Halmashauri.

Pia kwa mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ililipa kiasi cha Sh bilioni 57.3 ikiwa ni mishahara ya wataalamu 4,993 wa afya walioajiriwa na mashirika ya dini na kuahidi kuendelea kutoa ushirikiano unaohitajika kuimarisha ushirikiano uliopo.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.