• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Vikundi 23 Wilayani Busega vimenufaika na mikopo ya asilimia 10

Imewekwa tar.: February 26th, 2021


Na Mariane Mariane, Busega

Jumla ya Vikundi 23 Wilayani Busega vimeweza kunufaika na mikopo ya asilimia 10 ambapo shilingi milioni 74.4 sawa na asilimia 60.3 ya bajeti zimetolewa kwa vikundi hivyo katika mwaka 2019/2020.  

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega Anderson Kabuko amesema kati ya fedha hizo shilingi milioni 41.1 zimetolewa kwa vikundi 16 vya wanawake, shilingi milioni 19.1,  wamekopeshwa vijana na shilingi milioni 3.3 walipewa walemavu.

Miongoni mwa vikundi vilivyopata  mikopo hiyo ni kikundi cha Safina kilichopo Kata ya Lamadi ni kikundi kinachojishughulisha na ufugaji wa Samaki.

Katika kipindi hicho cha mwaka 2019/2020, kikundi hiki kimepatiwa jumla ya TZS miioni 5.1 kwa ajili ya kufuga Samaki.

Huu ni mpango ambao kikundi hicho walikuwa nao lakini kutokana na ukata wa fedha walishindwa kutekeleza lengo lao wakati huo.

Kiongozi wa kikundi hicho anasema kwamba mkopo usio na riba walioupata kutoka halmashauri umewafanya kupiga hatua kama vijana, na wanaamini kwamba wataweza kufikia malengo yao ya muda mrefu.

Kikundi hicho kwa sasa kinafuga samaki aina ya Kambale na kwa baadaye kina malengo ya kufuga aina nyingine ya Samaki.

Wakieleza ni kwanini wameamua kufuga Samaki wanasema ni kwasababu ya uhitaji mkubwa wa Samaki sehemu mbalimbali hapa nchini.

Licha ya kufanya shughuli hiyo kikundi hicho kinakiri kwamba wanahitaji kufanya bidii kubwa katika ufugaji wa Samaki ili kufikia malengo yao.

Kikundi hicho hufuga samaki katika Mabwawa ambayo hujengwa maeneo ambayo hayana muingilio mkubwa wa shughuli zingine.

Kikundi cha Watu Wenye Ulemavu kijulikanacho kama Umoja ni Nguvu kilichopo kijiji cha Nyakaboja kata ya Kabita ambacho kinajishughulisha na ufugaji wa kondoo pamoja na biashara ndogondogo kilipokea mkopo wenye jumla ya TZS Milioni nne.

Kikundi hiki kinafuga Kondoo ambapo mradi huu umekuwa na soko kubwa hivyo kufanya kikundi hicho kuwa na mafanikio katika ufugaji.

Kwa upande mwingine kikundi cha watu wenye ulemavu kijulikanacho kama Twiga kilichopo kata ya Lamadi ni miongoni mwa vikundi vyenye uwekezaji katika shughuli za utengenezaji wa samani, ikiwemo utengenezaji wa vitanda, meza, na viti.

Katika kipindi cha mwaka 2019/2020 kikundi hicho kilipewa mkopo wa jumla ya shilingi milioni sita

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TUNZENI VIFAA VYA AFYA VILIVYONUNULIWA NA SERIKALI - DKT. MAHERA

    March 30, 2023
  • REJESHENI MIKOPO ILI WENZENU WAPATE KUKOPA –KAMATI YA LAAC

    March 31, 2023
  • LAAC YARIDHISHWA NA USIMAMIZI WA UKARABATI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MTWARA

    March 31, 2023
  • KAMATI YA LAAC YAKAGUA MADARASA 7 YALIYOJENGWA KWA MAPATO YA NDANI NA NGUVU ZA WANACHI - MANISPAA YA SUMBAWANGA

    March 31, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.