Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Utoaji wa huduma za Afya kwa Masikini si hiari ni wajibu, Dr. Ntuli

Imewekwa tar.: June 28th, 2019

Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI Dr.Ntuli Angelile Kapologwe amesema huduma jumuishi za afya kwa wananchi masikini si jambo hiari bali ni wajibu wa kila mtoa huduma katika vituo vya kutolea huduma za Afya Nchini.

Dr. Ntuli amesema hayo wakati alipokutana na watumishi wa Hospital ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita kuzungumzia masuala mbalimbali ya kiutendaji na namna ya kuboresha utoaji wa huduma za Afya kwa Jamii.

Dr. Ntuli amesema mwananchi masikini hapaswi kubaguliwa kwa sababu tu hawezi kuchangia huduma za Afya ni wajibu wetu kumhudumia kisha kujirdhisha kama kweli hana uwezo wa kulipa kisha kupewa msamaha kwa mujibu wa Sera ya Afya.

“Moja kati ya haki ya msingi za kila binadamu ni kufurahia viwango vya juu vya afya viwezekanavyo na sisi kama watumishi wa Serikali tunalo jukumu la kutoa huduma bora za afya zinazofikika na zinazopatikana kwa watu wote bila ubaguzi.

Msamaha  katika huduma za Afya unahusishwa mama mjamzito na watoto wenye umri chini ya miaka mitano lakini kwa mama yule ambaye ana Bima ya Matibabu inapaswa kutumika ili kuchangia na gharama hizo ambazo zitaenda kusaidia wananchi ambao hawana uwezo  hivyo katika hili ni muhimu  tuelimishe wananchi ili kuwa na uelewa wa pamoja” Alisema Dr Ntuli.

Aidha Dr.Ntuli aliongeza kuwa msamaha huu pia unalenga wazee wenye zaidi ya miaka sitini na wale wenye magonjwa sugu lakini msamaha huo utatolewa pale ambapo afisa usawi wa jamii wa hospital au kituo husika atajiridhisha pasipo shaka kuwa makundi haya yote yaliyotajwa kwenye msahama hawana kabisa uwezo wa kuchangia huduma za Afya.

“Kila mtoa huduma anapaswa kuelewa vyema kuhusu msamaha na nani analengwa kati msamaha huu, mwananchi yupi anapaswa kuchangia huduma na yupi anapaswa kupewa msamaha na mfahamu fika kuwa utaoji wa msamaha huu si kwa mujibu wa matakwa yetu bali ni Sera ndio imeelekeza  hivyo kila mmojawetu atimize wajibu wake katika hili” alisema Dr, Ntuli.

Sambamba na hilo Serikali inaendelea kupanua utoaji wa huduma za afya kila inapowezekana, kuhakikisha upatikanaji wa dawa ni wa uhakika, wataalamu wa afya wanaajiriwa na kuendelezwa kulingana na mahitaji  na wanapata motisha:  Tunatarajia jitihada hizi  zitawezeshe  utoaji wa huduma za Afya kuzidi kuimarika kuanzia ngazi ya msingi, ninachowataka ni nyinyi kujituma kwa moyo na kuhakikisha wananchi wanakuwa na Afya njema na mnaokoa maisha ya watanzania alimalizia Dr.Ntuli.

Naye Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Dr. Japhet Simeo amemshkuru Mkurugenzi wa Afya kwa kukutana na watumishi wa Afya, kuskiliza changamoto zao, kutafuta ufumbuzi wa pamoja  na kutoa maelekezo ya Serikali katika kuboresha huduma za Afya.

“Nikuhakikishie tu kuwa maelekezo uliyatoa tumeyapokea na tutayafanyia kazi kwa weledi na kufuata miiko ya Taalumu yetu ili kuhakikisha tunafanikisha ile dhana ya upatikanaji wa huduma za Afya kwa wote” alisema Dr. Japhet”


Matangazo

  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • MAPEPELE AWANOA MAAFISA HABARI WA TAMISEMI, AWATAKA WAWE WAZALENDO 

    May 26, 2025
  • MAHUSIANO MAZURI  NI NGUZO MUHIMU KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU-MHE.SAGINI

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.