Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Uongozi Halmashauri ya Mbogwe mkoani Geita wapewa siku tatu kujieleza

Imewekwa tar.: May 9th, 2021

Na Mathew Kwembe, Mbogwe, Geita

Uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbogwe iliyopo mkoani Geita umepewa siku tatu ya kutoa maelezo ya kwa nini usichukuliwe hatua kwa kushindwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi katika shule ya sekondari ya Lulembela licha ya kupewa shilingi milioni 150 miaka miwili iliyopita.

Agizo hilo limetolewa jana na Naibu  Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia elimu Mhe.David Silinde wakati wa ziara yake ya siku moja wilayani humo ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Mhe Silinde amewataka viongozi hao ambao ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Afisa Elimu Sekondari pamoja na Mkuu wa Shule hiyo Mwalimu Ernest Mganga kuhakikisha kuwa ifikapo jumanne wiki ijayo wanamwandikia maelezo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI sababu zilizopelekea ujenzi huo kutokamilika kwa zaidi ya miaka miwili baada ya kupokea fedha za ujenzi.

Amekifananisha kitendo hicho sawa na hujuma kwa viongozi wakuu wa nchi kwani kutokamilika kwa mabweni hayo kumesabisha serikali kushindwa kupeleka wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu.

“Miongoni mwa shule tulizopanga kuleta watoto wa kidato cha tano na sita mwaka huu ni shule yenu ya Lulembela, nakuja nakuta hali ni kama hivi, kwa hiyo inabidi niende nikazuie si ndiyo maana yake,” amesema Mhe.Silinde na kuongeza:

“Hapa maana yake DC hafanyi kazi, Mkurugenzi hafanyi kazi, Afisa Elimu Sekondari hafanyi kazi maana yake wote ni wazembe na kama mlimhujumu hayati Dkt John Pombe Magufuli maana yake mnamhujumu na Rais wa awamu ya sita.”

Naibu Waziri amewataka viongozi wa halmashauri hiyo kuwa wabunifu na kuhakikisha wanakamilisha mabweni hayo mapema iwezekanavyo ili yaweze kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa na serikali.

Pia ameonya kuwa hatosita kuchukua hatua dhidi ya viongozi hao endapo majengo hayo hayatakamilika mapema.

Awali Mkuu wa shule ya sekondari ya Lulembela Mwalimu Ernest Mganga akitoa maelezo ya ujenzi huo amesema kuwa yalijengwa mabweni mawili kila moja liligharimu kiasi cha shilingi milioni 75 lakini changamoto iliyopo ni fedha kiasi cha shilingi milioni 150 kwisha kabla ya mabweni hayo kukamilika.

Kwa mujibu wa mwongozo wa serikali, fedha hizo zilipaswa kujenga majengo hayo hadi yakamilike pamoja na kuwekewa madirisha ya aluminium, na vitanda lakini kufikia sasa mapungufu mengi yamejitokeza kwenye hatua ya ukamilishwaji wa majengo haya.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.