Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TUTAFUATILIA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI NA CHANGAMOTO ZAO

Imewekwa tar.: January 28th, 2024

Na. Asila Twaha, Morogoro

 Mkurugenzi  wa Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais - TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amesema Ofisi ya Rais - TAMISEMI  itafuatilia utendaji kazi  wa watumishi wa Mikoa na Halmashauri na kufuatilia changamoto za wananchi katika maeneo yao ili ziweze kutatuliwa.

Akieleza hayo Januari 27, 2024  katika kikao cha   majumuisho na wataalamu wa afya ngazi ya CHMT, HMT za hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya, RHMT na MSD.

Aidha, kikao hicho ni  baada ya kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu ya  ukaguzi wa miradi ya ujenzi wa  afya, utoaji wa huduma kwa wananchi na kuzungumza na watumishi katika Halmashauri ya Wilaya Morogoro, Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero na Manispaa ya Morogoro.

Akieleza lengo la Serikali katika usimamizi wa miradi kukamilika kwa wakati  lakini pia miradi kuendana na thamani ya fedha iliyowekezwa amesisitiza kila mtumishi atekeleze majukumu yake kwa weledi ikiwa ni pamoja na kutoa   huduma bora kwa wananchi huku akiwataka kuitumia na kuisimaia vizuri mifumo ya kieletroniki iliyofungwa kwani ukusanyaji wa fedha hizo husaidia kuendelea kuboresha huduma za afya.

Dkt. Mfaume amewataka watumishi hao kushirikiana na Wakurugenzi wao kwa sababu zipo baadhi ya Halmashauri ambazo fedha za kumaliza miradi zinapochelewa au kuwa hazitoshi Wakurugenzi wamekuwa wakitoa fedha kumaliza miradi  ili huduma zitolewa na hivyo wao ni jukumu lao sasa kuhakikisha wanatoa huduma kwa wananchi kwa wakati.

Kwa upande mwingine Dkt. Mfaume amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kwa kuendelea kusimamia na kuzuia ugonjwa wa kipindupindu  ambao kwa sasa upo kwenye  baadhi ya mikoa na kuwakumbusha watendaji  hao kuendelea kuweka mikakati ya kuzuia ugonjwa  huo kwa kutunza vyanzo vya maji visichafuliwe na mifumo ya vyoo na maji taka kuimarishwa ili kuzuia maambukizi.

"Natoa  wito kwa watendaji wenzangu ni lazima tuchukue tahadhari na hatua za kinga dhidi ya magonjwa ya kuhara" amesisitiza Dkt. Mfaume

Naye Mganga Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Kusirye Ukio amesema, watayafanyia kazi yale yote waliyoelezwa kwa kushirikiana  na watumishi wote kwa lengo la kutoa na kuboresha huduma kwa wananchi.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.