Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TUNAJUA UWEZO WENU TUPO PAMOJA NANYI- MASAYA

Imewekwa tar.: October 15th, 2022

Na. Asila Twaha, Tanga

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala, Usimamizi na Rasilimali Watu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Marko Masaya amewaeleza wachezaji na walimu wa Timu ya TAMISEMI Sports Club  kuendeleza umoja  wa kufanya mazoezi  kwa kuwa uongozi wa TAMISEMI unajua uwezo mkubwa wa timu hiyo.

Ametoa wito huo Oktoba 15, 2022 alipofika kuwaona kwenye kambi ya   timu ya TAMISEMI Sports Club  katika michezo ya Shirikisho ya Wizara, Idara za Serikali na Mikoa iliyokua inaendelea Jijini Tanga.

Akielezea jinsi viongozi wanavyotambua umuhimu wa ushiriki wa michezo ya SHIMIWI na kuwaruhusu kushiriki.

Amewaeleza kuwa, kwa mwaka huu nafasi walizozipata  bado viongozi wao wataendelea kushirikiana na timu hiyo kwa kuhakikisha wanawawezesha na si tu kwa ushiriki wao wa SHIMIWI, bali kwa kuendeleza ushiriki wa michezo kwa watumishi kwa kushirikiana na viongozi wao sababu michezo hujenga afya na husaidia utendaji  wa kazi kazini.

“Katibu Mkuu Prof. Riziki Shemdoe anatambua umuhimu wenu na anajua vizuri uwezo wa timu ya TAMISEMI Sports Club amesema, ataendelea kushirikiana nanyi kwa kuiendeleza michezo sababu michezo ni ajira, afya na hujenga mahusiano mazuri katika kazi zetu" amesema Masaya

Akiendelea kufafanua kwa nafasi ya timu ya kamba wasichana kuingia katika hatua ya robo fainali, mchezo wa kuendesha baiskeli kushika nafasi ya 11, Bw. Masaya amesema, imeonesha dhahiri  nia ya kushindana na si kushiriki imeonekana jitihada zenu na sisi kama viongozi tutaendelea kushirikiana nanyi.

“Nitoe wito kwa viongozi wa timu kuendelea kushirikiana kwa pamoja na walimu na wanamichezo ili kuendelea kufanya vizuri zaidi sio tu kwa michezo ya SHIMIWI bali kwa mechi zetu zote”

Kwa upande wa Katibu wa timu ya TAMISEMI Sports Club Bw. Alex Morice ameushukuru uongozi wa TAMISEMI na kuahidi kuendelea kuongeza jitihada katika timu hiyo na kuwahamasisha watumishi  kushiriki sababu bado kuna nafasi ya michezo ya kushiriki mbali ya safari hii timu kushiriki michezo michache.

“Wito kwa watumishi wenzangu kuendelea kufanya mazoezi na kuweza  kushiriki michezo sababu michezo ni mingi tunaweza kushiriki drafti, darts, mpira wa miguu, kuendesha baiskeli, karata, riadha, kucheza bao netiboli na kuvuta kamba.

Aidha, michezo ya 36  Shirikisho ya Wizara, Idara za Serikali na Mikoa (SHIMIWI) yalihairishwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Omary Mgumba katika uwanja wa mkwakwani.


Matangazo

  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • MAPEPELE AWANOA MAAFISA HABARI WA TAMISEMI, AWATAKA WAWE WAZALENDO 

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.