Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TRILIONI 2.9 ZA TACTIC KUBORESHA NA KUENDELEZA MIJI 45 YA TANZANIA.

Imewekwa tar.: December 5th, 2024

Jumla ya miradi yenye thamani ya Shilingi Trilioni 2.9 sawa na Dola za Marekani Bilioni 1.108 inatekelezwa maeneo mbalimbali nchini Tanzania ikiwa ni adhma ya Serikali ya Awamu ya Sita kwa kushirikiana na Benki ya Dunia katika uendelezaji na uboreshaji wa Miji ili kuhakikisha utoaji bora wa huduma kwa wananchi nchini Tanzania.

Miradi hiyo inayosimamiwa na OR-TAMSMI na kutekekezwa na TARURA kupitia kikundi kazi cha uratibu wa miradi “projects coordiination team (PCT) “ ni mradi wa Uboreshaji Jiji la Dar es Salaam awamu ya pili (DMDP2) na uendelezaji wa bonde la Mto Msimbazi Mkoani Dar es Salaam pamoja na mradi wa TACTIC unaotekelezwa kwenye miji 45 nchi nzima.

Lengo la miradi hiyo ni kuboresha na kuendeleza huduma za usafiri na usafirishaji pamoja na huduma mbalimbali za kijamii ambapo leo Disemba 05, 2024 kumeshuhudiwa utiaji saini wa ujenzi wa kituo cha Mabasi Inala pamoja na soko la Mjini Kati katika Manispaa ya Tabora mkoani Tabora.

Wakati wa utiaji saini mkataba huo, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba amesema ni matarajio ya Serikali kuwa miradi hiyo italeta mabadiliko chanya kwa wananchi wa Tabora kwani miradi hiyo inaboresha mazingira ya ufanyaji biashara na kuongeza thamani ya maeneo husika na hivyo kukuza pato la mwananchi mmoja mmoja na la Mkoa kwa ujumla.

Naibu Waziri Katimba amehimiza pia utunzaji wa miundombinu hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu na kuwa na tija kwa wananchi.

“ Viongozi  wa Halmashauri zote zinazotekeleza miradi ya TACTIC ni lazima mhakikishe kuwa miradi hii ya mMasoko na Vituo vya Mabasi inatunzwa na inapokamilika  iwe na uwezo wa kujiendesha na kuzalisha mapato kwa Halmashauri zenu, “ alisema Mhe. Katimba.

Kukamilika kwa ujenzi ws kituo cha mabasi Inala kutawezesha kuhudumia mabasi na daladala zaidi ya 70 kwa wakati mmoja, maegesho ya magari binafsi 142 pamoja na kuongeza makusanyo ya Halmashauri; kuwezesha mazingira rafiki ya kufikika sambamba na uboreshaji wa huduma nyingine za kijamii ikiwemo chumba cha kutunzia watoto, mifumo ya maji,  ufungaji wa taa pamoja na ujenzi wa ofisi mbalimbali.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.