• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

TRILIONI 1.2 KUTUMIKA KUBORESHA ELIMU YA SEKONDARI

Imewekwa tar.: November 20th, 2022

Na. Angela Msimbira, URAMBO

Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za` Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe  Angellah Kairuki amesema Serikali itatumia takribani Sh trilioni 1.2 katika kuboresha elimu ya sekondari nchini.

Kairuki ameyasema hayo wakati wa kuzungumza na wananchi wa Kata ya Kasisi, Halmashauri ya Wilaya ya Urambo  mara baada kukagua ujenzi wa shule ya Sekondari ya Kasisi unaogharimu Sh milioni 470.

Amesema kiasi hicho cha fedha kitatumika ndani ya miaka mitano ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari(SEQUIP).

Aidha, Kairuki amesema pia Serikali imefanya tathmini ya shule Kongwe za msingi kwa ajili ya kuongezwa madarasa kukarabatiwa na kujengwa upya

Amesema kwa kutambua umuhimu wa elimu hasa katika maeneo ya pembezoni  ambapo watoto wanatembea umbali mrefu  kufuata elimu, Serikali imeweka  mkakati wa kusogeza huduma hiyo karibu na wananachi.

Pia kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia nchini kwa kujenga miundombinu ya elimu.

“Tabora pia kuna Watanzania, kuna watoto wanaohitaji huduma, hivi kama atatembea umbali mrefu sana atakuwa na kiwango cha ufaulu unaotakiwa, hivyo kwa kutambua hilo tunasogeza huduma  ya elimu  karibu na wananchi” amesema Mhe. Kairuki

Amesema kuwa lengo la Serikali ni kuhakikisha hakuna kata inakosa shule ya sekondari ili kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata fursa ya upata elimu.

Ametoa rai kwa wananchi kujitoa katika kusaidia shughuli za maendeleo ili kuunga mkono juhudi za Serikali

Amewataka wananchi kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii na kuzalisha ili serikali iweze kukusanya mapato kwa ajili ya kuendeelea kuboresha huduma kwa jamii.

Aidha, Kairuki amewaomba wazazi kuwahimiza watoto  wao kujikita katika masomo na kuhakikisha wanatoa muda kwa ajili ya kujisomea ili wanachofundishwa waweze kukielewa  na kukitumia baadaye na kuwa na kizazi cha wasomi na wanaojitambua.


Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, AWAMU YA PILI 2023 September 20, 2023
  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KWA SHULE MPYA ZA SEKONDARI,2023 August 25, 2023
  • KUSIMAMISHWA KAZI KWA MKURUGENZI WA BUHIGWE July 12, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATAALAM WA ELIMU

    September 18, 2023
  • DKT. SAMIA ASHANGAZWA NA HALMASHAURI KUSHINDWA KUJENGA JENGO LA X-RAY

    September 17, 2023
  • SHULE ZA MSINGI 1,000 KUJENGWA NCHI NZIMA

    September 17, 2023
  • TRILIONI 6.5 ZATEKELEZA MIRADI YA ELIMU, AFYA NA MIUNDOMBINU

    September 15, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.