Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TAMISEMI YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA TAKWIMU

Imewekwa tar.: August 6th, 2024

Na Angela Msimbira, OR-TAMISEMI

OFISI ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa imezindua Mpango Mkakati wa Takwimu na utekelezaji  wake ambao umelenga kuwezesha upatikanaji, ufikiaji na matumizi ya takwimu katika ngazi ya mamlaka za serikali za mitaa.

Akizungumza wakati wa kuzindua mkakati huo, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Adolf Ndunguru amesema matumizi hafifu ya teknnolojia katika ukusanyaji wa takwimu hasa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa unachangia katika kukosekana kwa takwimu sahihi na zenye ubora ambazo ni muhimu  katika kufanya maamuzi mbalimbali.

Amesema hatua hiyo itasaidia kuimarisha uwezo wa watendaji wa serikali katika ukusanyaji, uchambuzi na matumizi ya takwimu ili kuboresha huduma kwa wananchi.

Ndunguru anafafanua kuwa kuanzishwa kwa mpango hui ni hatua muhimu katika kuboresha mfumo wa usimamizi wa takwimu nchini kutokana na uwepo wa mahitaji ya takwimu kwa kiwango cha juu.

Pia ni kutokana na uwepo wa matumizi hafifu ya takwimu katika kupanga mipango kwenye  maeneo mbalimbali, mpango huu utasaidia  kufanya ufuatiliaji na tathimini ya utoaji wa huduma kwa wananchi.

Amesema pia uwepo wa mpango huo utasaidia   kuimarisha uwazi na uwajibikaji katika mipango mbalimbali ya maendeleo na kuunga mkono mpango wa kitaifa wa takwimu.

Aidha, Ndunguru ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa wadau, serikali mashirika yasiyo ya kiserikali na sekta binafasi kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa mpango mkakati huo.

“Ushiriki wenu ni muhimu katika kuhakikisha tunapata tawkimu sahihi zenye ubora na zinaoweza kutumika katika maamuzi yetu.”amesisitiza Ndunguru

Amesema kila mdau ana jukumu katika kuhakikisha mfumo wa takwimu unafanyakazi kwa ufanizi na unatoa matokeo chanya kwa wananchi kwani bila takwimu sahihi zenye ubora mipango haitakuwa na uhalisia,

Akitoa salama Katibu Tawala Mkoa wa Tabora, Dk JohnMboya amesema mkakati huo ni muhimu kwani unaenda kuleta uwazi na uwajaibikaji kwenye halmashauri ambazo ndizo zinachangia kwa kiasi kikubwa takwimu za nchi.

Pia ametumia fursa hiyo kuiomba Ofisi ya Rais –TAMISEMI kuangalia namana ya kuendelea kuwajengea uwezo watakiwmu katika ngazi ya halmashauri ili waweze kusimamia vizuri.

Pia ameomba waratibu katika ngazi za halmashauri na mikoa kupatiwa vitendea kazi na kushauri uwepo wa jukwaa la kidigitali la takwimu ambalo litawezesha upatikanaji wa takwimu.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Fomu za kujiunga na Kidato cha kwanza 2024 December 16, 2024
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni laki mbili na elfu 60 kwa miaka sita

    May 15, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya

    May 14, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.