Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TAMISEMI Yaaswa Kuongeza Nguvu Kwenye Kilimo

Imewekwa tar.: August 8th, 2022

Na Fred Kibano, Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametoa rai kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI na Taasisi yake ya Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa kuzihamasisha zaidi Halmashauri kuongeza nguvu zaidi kwenye Sekta ya kilimo ili kukifanya kilimo kiwe na tija kwa wakulima.

Senyamule ameyasema hayo baada ya kutembelea banda la Ofisi ya Rais Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) hivi leo na kusema kuwa wananchi wengi wanategemea kilimo kwa ujumla wake hivyo maandiko ya Miradi wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Wilaya (DADP) ulioanza mwaka 2021/2022 hadi 2025/2026 uzisaidie Halmashauri kuongeza nguvu kwenye kilimo kwa Halmashauri.

“Ofisi ya Rais TAMISEMI iongeze nguvu zaidi kwenye uwekezaji wa kilimo kwa kuwa asilimia 70 ya wananchi wanategemea kilimo, Mijini kuna Miradi ya kimkakati lakini vijijini kama Halmashauri za Kongwa, Mpwapwa, Kondoa na Halmashauri nyingine zipo vijijini nguvu zaidi iende kwenye Sekta ya kilimo” alisema Senyamule.

Aidha, ameitaka Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa (LGLB) kuzihamasisha Mamlaka za Serikali za Mitaa kukopa fedha na kuwekeza kwenye kilimo ili kuleta kilimo chenye tija kwa Watanzania.

Awali akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule, Dkt. Berther Duganga Afisa Kilimo Mkuu kutoka Idara ya Tawala za Mikoa Sehemu ya Uratibu wa Sekta za Kiuchumi Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema kwamba Ofisi ya Rais TAMISEMI imekuwa inaandika Maandiko maalum kuhusu Mpango wa Maendeleo ya kilimo wa Wilaya kwa Halmashauri mfano wa andiko hilo ni Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuhusu uchambuzi wa hali ya bidhaa za kipaumbele, malengo ya Mpango, Mnyororo wa thamani, Utekelezaji, Gharama na Tabia fedha na Mfumo wa Tathmini na Ufuatiliaji wa DADP.  

Kauli mbiu ya maonesho ya mwaka 2022 inasema, "Ajenda 10/30 “Kilimo ni Biashara, Shiriki Kuhesabiwa kwa Mipango Bora ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi” ambapo Maonyesho hayo kwa Kanda ya Kati yanafanyika Mkoani Dodoma katika Jiji la Dodoma.

Taasisi za Ofisi ya Rais TAMISEMI zinazoshiriki ni pamoja na chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo (LGTI), Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa (LGLB), Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) na Tume ya utumishi wa Walimu (TSC).




Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.