• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

TAMISEMI Sports Club yafunika mchezo wa Riadha SHIMIWI

Imewekwa tar.: October 27th, 2021

Na Asila Twaha, Morogoro

Timu ya TAMISEMI imeendelea kufanya vizuri katika mashindano ya SHIMIWI ambapo imecheza mchezo wa riadha uliofanyika kwa mbio fupi, kati, ndefu na kupokezana vijiti (relay) na kujinyakulia ushindi mkubwa katika mbio hizo.

Mchezo huo ulifanyika Oktoba 27, 2021 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro ukianza kutimua vumbi kwa wanawake mbio fupi za mita 100 Salome Luvanda akiwaamsha mashabiki kwa shangwe baada ya kushika nafasi ya kwanza na kufanikiwa kunyakua medali ya dhahabu, kwa mbio za mita 200 Beltila Genadius hakufanya ajizi kwa kushika nafasi ya kwanza nakuifanya timu yake kuwa na medali za dhahabu mbili.

Kwa mbio za mita 400 Tegemea Leah akaungana na watangulizi wake nae medali ya dhahabu ikamuhusu akifutiwa na Nuru Mhomisoli akavunja rekodi kwa mbio za mita 800 na 1500 akishika nafasi ya kwanza na kuzibeba medali mbili za dhahabu akihitimisha jumla ya medali 6 za dhahabu kwa upande wa riadha kwa wanawake.

Neema Chongolo nae hakuachwa nyuma akanogesha ushindi kwenye mchezo wa kurusha tufe kwa hushika nafasi ya kwanza na kuongeza idadi ya medali ya dhahabu kwa timu ya TAMISEMI Queens (riadha) ikawa na medali za dhahabu 7.

Kwa upande wa wanaume mbio za mita 100 Inocent Mbetwa akashika nafasi ya pili akijinyakulia medali ya silver, mita 200 Lutwiko Mwasege medali ya silver, mita 400 Azori Iman medali ya silver, mita 800 na 1500 Atisoni Mbughi akafanya yake na kukamilisha ushindi mnono kwenye mbio hizo kwa nafasi ya kwanza medali mbili za dhahabu akajishindia.

Katika mchezo wa kurusha tufe kwa wanaume Timu ya TAMISEMI Sports Club (riadha)  iliwakilishwa na Lwitiko Mwasege ambae amefanikiwa kushika nafasi ya pili na kushinda medali ya silver.

Kwa mchezo wa kupokezana vijiti (Relay) TAMISEMI Queens imeongoza kwa nafasi ya kwanza na kuchukua medali ya dhahabu na wanaume wakishika nafasi ya kwanza nakuongeza idadi ya medali za dhahabu.

TAMISEMI imejishindia kwa kishindo mchezo huo kwa kuibuka na jumla ya medali 10 za dhahabu na silver 4 hivyo timu hiyo kuwa mshindi wa kwanza kwa mchezo wa riadha SHIMIWI 2021.


Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.